Kikao cha Burundi chahimiza kupunguzwa athari za majanga ya kimaumbile + Sauti
Jan 29, 2019 02:34 UTC
Wajumbe wanaoshiriki katika kikao cha nchi za Afrika ya Kati cha Bujumbura Burundi wamehimiza kuchukuliwa hatua za kukabiliana na athari za majanga ya kimaumbile na ugonjwa hatari wa Ebola uliopinga kambi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura...
Tags