Kujiuzulu Benjamin Mkapa katika upatanishi kwapokewa kwa hisia tofauti nchini Burundi + Sauti
Feb 11, 2019 17:11 UTC
Wananchi wa Burundi wamekuwa na hisia na maoni tofauti kuhusu msimamo uliotangazwa na msuluhishi wa mzozo wa nchi hiyo rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa wa kuamua kujiuzulu wadhifa huo. Kwa maelezo zaidi tuitegee sikio ripoti ya mwandishi wetu wa mjini Bujumbura, Hamida Issa...
Tags