Benki ya ADB yaridhishwa na miradi yake Burundi + Sauti
Feb 07, 2019 17:51 UTC
Ujumbe wa Benki ya Mandeleo ya Afrika ADB baada ya ziara yake ya wiki moja nchini Burundi umesema kuwa umeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyodhaminiwa na benki hiyo nchini humo. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura...
Tags