-
Kuimarika uhusiano wa Russia na China, changamoto kubwa kwa mfumo wa Magharibi duniani
Dec 23, 2023 01:11Katika ziara yake nchini China, Waziri Mkuu wa Russia amesema kuimarishwa uhusiano wa pande mbili ni kwa manufaa ya Moscow na Beijing.
-
Radiamali ya China kuhusu kura ya turufu ya Marekani dhidi ya azimio la kusitisha vita Gaza
Dec 10, 2023 02:24Zhang Jun, mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa, ameitaja kura ya turufu ya Marekani dhidi ya azimio la kusitisha mapigano huko Gaza kuwa imeweka wazi siasa za kundumakuwili za Washington katika uwanja wa kimataifa.
-
Iran na China zakubaliana kuanzisha kituo cha pamoja cha mafunzo ya teknolojia mpya
Nov 11, 2023 23:26Wakuu wa Idara za Mafunzo za Wizara za Sayansi, Utafiti na Teknolojia za Iran na China wamekubaliana juu ya kuanzishwa kituo cha pamoja cha utoaji mafunzo ya kiufundi na kitaalamu na mafunzo ya teknolojia mpya.
-
Utunishaji misuli wa China sambamba na harakati za Marekani katika Bahari ya China Kusini
Nov 09, 2023 23:22China imetuma meli yake ya kivita ya kubeba ndege ya Shangong katika Bahari ya China Kusini sambamba na kufanyika maneva ya baharini kati ya Marekani, Korea Kusini na Ufilipino.
-
Radiamali ya China kuhusu ripoti ya mwaka ya Pentagon
Oct 27, 2023 22:52Wizara ya Ulinzi ya China imelaani ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) kuhusu nchi hiyo.
-
Kupigiwa kura ya veto maazimio yanayohusu vita vya Ghaza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Oct 27, 2023 03:57Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limeshindwa kupasisha azimio Katika hali ambayo wananchi wa Ukanda wa Ghaza bado wanakabiliwa na mashambulizi ya kinyama na ya kutisha ya utawala wa Kizayuni ambapo utawala huo unazuia kufikishwa misaada ya dharura katika eneo hilo.
-
Russia: Kustawisha uhusiano wa kimkakati na China ni kipaumbele chetu cha kipekee
Oct 17, 2023 10:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kuwa kustawisha uhusiano wa kimkakati na China ni kipaumbele cha kipekee kwa Moscow, na akauelezea uhusiano wa Moscow na Beijing kuwa ni kama mfano wa ushirikiano wa kiserikali kati ya madola makubwa yenye nguvu katika karne ya 21.
-
Msimamo wa China unaokinzana na Wazayuni kuhusu mgogoro wa Gaza
Oct 14, 2023 04:11Tangu siku za mwanzo kabisa za shambulio la kasi ya radi la Hamas dhidi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu, msimamo wa China kuhusu suala hilo haukuziridhisha Marekani na Wazayuni.
-
Msimamo tofauti wa Russia na China kuhusu operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa
Oct 11, 2023 23:01Licha ya uungaji mkono kamili wa Marekani na washirika wake wa magharibi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya operesheni ya Kimbunga ya al-Aqswa na hata Washington kutuma misaada ya kijeshi na zana za kivita kwa utawala huo ghasibu, lakini Russia na China, yakiwa madola mawili hasimu na washindani wa Magharibi, yamechukua msimamo tofauti katika uwanja huu.
-
Jumapili, Mosi Oktoba, 2023
Sep 30, 2023 23:06Leo ni Jumapili tarehe 15 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1445 Hijria sawa na tarehe Mosi Oktoba 2023 Miladia.