-
Ndege za kijeshi za Iraq zaangamiza makamanda 30 wa Daesh nchini Syria
Jan 01, 2019 08:14Ndege za kivita za Iraq zimeshambulia maficho ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh mashariki mwa Syria na kuangamiza makanda wasiopungua 30 wa genge hilo la ukifurishaji.
-
Dakta Zarif: Tangu awali kuweko Marekani nchini Syria kulikuwa kinyume cha sheria
Dec 25, 2018 02:58Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katu Marekani haijawahi kupambana na kundi la kigaidi la Daesh na kwamba, Washington haikuwa nchini Syria kwa faida ya wananchi wa nchi hiyo wala kwa ridhaa ya serikali ya Damascus.
-
Daesh yafanya mauaji mengine ya kimbari, yaua wafungwa 700
Dec 20, 2018 02:40Kundi la kigaidi la Daesh limefanya mauaji mengine ya kutisha huko mashariki mwa Syria kwa kuua wafungwa mia saba karibu na eneo lililoko kwenye mpaka wa nchi hiyo na Iraq.
-
Timu nyingine ya magaidi wa Daesh yasambaratishwa nchini Iraq
Dec 08, 2018 15:34Vikosi vya ulinzi vya Iraq vimetangaza habari ya kusambaratishwa timu nyingine ya magaidi huko magharibi mwa mji wa al Ramadi, makao makuuu ya mkoa wa al Anbar.
-
Makundi ya kutetea haki za binadamu: Daesh imeua raia 5490 nchini Syria
Dec 01, 2018 02:42Jumuiya ya kutetea haki za binadamu nchini Syria imetangaza kuwa, kundi la kigaidi la Daesh limeua raia 5490 nchini Syria katika kipindi cha miezi 53 iliyopita.
-
Watu 7 wauawa katika shambulio la genge la kigaidi la ISIS kusini mashariki mwa Libya
Nov 24, 2018 07:12Vyombo vya habari vya Libya usiku wa kuamkia leo vimetangaza kuwa, wanamgambo wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) wameshambulia kituo kimoja cha polisi kusini mashariki mwa nchi hiyo na kuua watu wasiopungua saba na kujeruhi wengine 10.
-
Zaidi ya magaidi 24 wa ISIS wauawa nchini Iraq
Nov 17, 2018 16:30Zaidi ya magaidi 24 wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) wameuawa katika mashambulizi ya anga na nchi kavu yaliyofanywa kwenye maeneo tofauti na wanajeshi wa Iraq katika opereseheni ya kuyasafisha mabaki ya magaidi hao katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Taleban: Marekani na serikali ya Afghanistan zinalisaidia genge la Daesh (ISIS)
Nov 12, 2018 05:24Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya kundi la Taleban yenye makao yake mjini Qatar amesema kuwa, harakati za makundi ya kigaidi za Daesh (ISIS) nchini Afghanistan, ni mradi wa pamoja wa Washington na serikali ya Kabul.
-
Lavrov atahadharisha kuhusu hatari ya ugaidi duniani
Nov 08, 2018 08:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema ugaidi ungali upo kote ulimwenguni na ni jambo la hatari kwa nchi zote licha ya mafanikio yaliyopatikana katika mapambano dhidi ya janga hilo.
-
Gaidi mmoja Algeria aelezea namna Marekani inavyoshirikiana na magaidi wa ISIS
Nov 05, 2018 03:14Gaidi mmoja wa Algeria ambaye wakati fulani alijiunga na genge la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria ameiambia Mahakama ya al Dar al Baydhaa ya Algeria kuwa, wakati alipoingia Syria alipokewa na afisa mmoja wa jeshi la Marekani na kumpa mafunzo ya kutumia silaha yeye na wenzake kadhaa.