-
Russia: Magaidi wameshaangamizwa kikamilifu Syria
Dec 07, 2017 03:57Mkuu wa Jeshi la Russia ametangaza kuwa, vikosi vyote vya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) vimeangamizwa nchini Syria na kwamba nchi hiyo ya Kiarabu imesafishwa kikamilifu na uwepo wa magaidi.
-
Ayatullah Shahroudi: Kushindwa Daesh(ISIS) kutausukuma ubeberu uanzishe njama mpya
Nov 26, 2017 00:13Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kuwa macho na njama za ubeberu wa kimataifa.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 17 na sauti
Nov 25, 2017 16:03Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 17 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Ayatullah Kadhim Siddiqi: Kusambaratishwa ISIS kumeitia kiwewe Marekani na Israel
Nov 24, 2017 13:02Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amepongeza hatua ya kusambaratishwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) na kusisitiza kuwa, habari hizo zimechoma nyoyo za waungaji mkono wa magenge ya kigaidi duniani.
-
Velayati: Iran inajitolea muhanga kulinda usalama wa majirani zake
Nov 24, 2017 00:52Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, ushawishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye eneo hili ni wa kujivunia kwani ni ushawishi wa kirafiki na kwamba Tehran inajitolea muhanga kulinda usalama wa majirani zake.
-
Kiongozi: Kujitokeza kwa wingi wananchi katika medani za kupambana na madola ya kiistikbari ni muujiza wa Mapinduzi ya Kiislamu
Nov 23, 2017 03:45Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, jana Jumatano alikutana na maelfu ya wapiganaji wa kujitolea wa jeshi la Basij waliokwenda kuonana naye kutoka maeneo mbalimbali ya Iran na kusema kujitokeza kwa wingi vijana katika medani mbalimbali hasa medani ya kupambana na madola ya kiistikbari na kibeberu ni kati ya miujiuza ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Ayatullah Khamenei: Vijana wenye imani wameipigisha magoti Marekani kwa kuiangamiza Daesh
Nov 22, 2017 13:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, adui amezidisha uhasama wake kwa shabaha ya kuangamiza muqawama na mapambano yaliyoanzishwa na fikra ya kimapinduzi na Kiislamu katika eneo la Mashariki ya Kati, lakini vijana na waumini wenye istiqama wamewapigisha magoti maadui na kuthibitisha tena kivitendo kaulimbiu ya "Sisi Tunaweza" kwa kuliangamiza tezi la sarati na kitakfiri la Daesh.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuhitimishwa satwa ya Daesh ni pigo kwa Marekani na tawala tegemezi kwa Washington
Nov 22, 2017 04:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kuhitimishwa satwa ya mti khabithi wa kundi la kigaidi la Daesh ni pigo kwa serikali za huko nyuma na za sasa za Marekani pamoja na tawala vibaraka na tegemezi kwa Washington katika Mashariki ya Kati ambazo zililianzisha kundi hili na kuliunga mkono kwa hali na mali ili zitanue satwa zao katika eneo hili na hivyo kuufanya utawala ghasibu wa Israel uwe na udhibiti wa eneo hili.
-
Rais Rouhani: Kushindwa magaidi wa Daesh ni habari njema kwa Iran na Mashariki ya Kati
Nov 21, 2017 10:52Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kung'olewa mizizi ya kundi la kigaidi la Daesh na kusambaratishwa misingi yake huko nchini Syria ni habari njema kwa wananchi wa Iran na wa mataifa ya Mashariki ya Kati.
-
Hizbullah: Marekani imeisadia Daesh huko al Bukamal
Nov 21, 2017 00:09Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani imeilisaidia kundi la kigaidi la Daesh katika mapigano ya hivi majuzi katika mji wa al Bukamal nchini Syria hatua ambayo inakadhibisha madai ya Washington kwamba inapambana na ugaidi