-
Katibu Mkuu wa UN: Bila ya njia jumuishi za kisiasa haitowezekana kuishinda Daesh
Feb 18, 2017 12:49Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesisitiza kuwa haitowezekana kulishinda kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi za Syria na Iraq pasina kuwa na njia ya ufumbuzi wa kisiasa jumuishi na wa pande zote.
-
Saudi Arabia: Tumesambaratisha genge la lililokuwa na mfungamano na Daesh huko Makkah na Madina
Feb 17, 2017 00:58Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia imetangaza kusambaratisha mtandao wa kigaidi wenye mafungamano na kundi la kigaidi la Daesh katika maeneo tofauti ya nchi hiyo, ikiwemo miji mitukufu ya Makkah na Madinad.
-
Iran yawakamata magaidi wa ISIS karibu na Tehran
Feb 11, 2017 10:36Iran imewakamata wafuasi wa kundi kigaidi la ISIS au Daesh katika viunga vya mji mkuu Tehran.
-
Assad: Marekani kudai inapambana na Daesh huko Syria ni njozi
Feb 07, 2017 11:25Rais Bashar al-Assad wa Syria ameutaja muungano wa kijeshi wa Marekani unaodai kupambana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS nchini Syria kuwa ni muungano wa kinjozi na wa kuihadaa dunia.
-
Wanachama watatu wa Daesh watiwa mbaroni Morocco
Feb 07, 2017 04:13Askari usalama wa Morocco wamewatia mbaroni wanachama watatu wa kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.
-
Kukaribia kushindwa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Iraq
Feb 04, 2017 03:19Yan Kubish, Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq amesema kuwa, kushindwa kikamilifu kundi la kigaii la Daesh kumekaribia na kwamba msaada wa jamii ya kimataifa kwa Wairaki, baada ya kushindwa kundi hilo ni suala muhimu sana.
-
Jeshi la Iraq: Magaidi wa ISIS wamezingirwa kikamilifu mjini Mosul
Feb 04, 2017 00:58Msemaji wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi nchini Iraq amesema kuwa, wanachama wa genge la kigaidi na ukufurishaji wa Daesh (ISIS) wamezingirwa kikamilifu katika eneo la magharibi mwa mji wa Mosul nchini humo.
-
Daesh yadai imeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa Misri, Sinai
Feb 01, 2017 04:08Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limedai kwamba limeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa Misri kaskazini mwa eneo la Sinai.
-
Jumatatu, 30 Januari, 2017
Jan 30, 2017 00:30Leo ni Jumatatu tarehe Mosi Jamadil Awwal 1438 Hijria sawa na tarehe 30 Januari 2017.
-
Nouri al-Maliki: Kundi la ISIS ni mzawa wa serikali ya Barack Obama
Jan 19, 2017 10:34Nouri al-Maliki, Mkuu wa Muungano wa Utawala wa sheria na makamu wa rais wa Iraq amesema kuwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh, ni mzaliwa wa serikali ya Rais Barack Obama wa Marekani anayeondoka madarakani.