-
Marekani, Saudia, Israel ni waungaji mkono wa magaidi wa Daesh
Oct 17, 2016 23:40Kamanda wa ngazi za juu wa jeshi nchini Syria amesema, kuna ushahidi wa kutosha kuwa Marekani, Saudi Arabia na Israel ni waungaji mkono wakuu wa magaidi wa ISIS (Daesh) huko Syria na Iraq.
-
Magaidi zaidi waangamizwa katika mkoa wa Salahuddin nchini Iraq
Oct 17, 2016 12:23Jeshi la Iraq limetangaza habari ya kushadidisha mashambulizi yake katika mkoa wa Salahuddin wa kaskazini mwa Baghdad, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Mgogoro wa kisiasa waongezeka nchini Libya
Oct 17, 2016 12:20Taasisi ya kulinda usalama iliyoko chini ya amri ya baraza la uongozi wa Libya imetangaza kujitenga na baraza hilo.
-
Mufti wa Misri awaambia Wamagharibi: Daesh si "Dola la Kiislamu"
Oct 06, 2016 12:17Mufti wa Misri amevitaka vyombo vya habari vya nchi za Magharibi viache kutumia neno "Dola la Kiislamu" kuliarifisha kundi la kigaidi la Daesh.
-
Mkuu wa Daesh taabani baada ya kupewa sumu
Oct 05, 2016 11:23Mkuu wa kundi la kigiaid la ISIS (Daesh), Ibrahim al-Samarrai, maarufu kama Abu Bakr al-Bahgdadi, ameripotiwa kuwa katika hali mbaya ya kiafya baada ya kuwekewa sumu katika chakula chake.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Zama za kuondokana na udhalimu na ukatili wa Daesh zinakaribia
Oct 04, 2016 22:55Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al-Abadi amewaambia watu wa mji wa Mosul kuwa zama za kuondokana na udhalimu na ukatili wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh zinakaribia.
-
Genge la wanawake wenye uhusiano na Daesh watiwa mbaroni Morocco
Oct 03, 2016 23:27Duru rasmi nchini Moroco zimearifu habari ya kutiwa mbaroni wanawake kumi wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh ambao walikuwa na lengo la kutekeleza mashambulizi ya kigaidi katika miji kadhaa nchini humo.
-
Kinara wa ISIS (Daesh) mahututi baada ya kupewa 'sumu' Iraq
Oct 03, 2016 11:32Kinara wa kundi la kitakfiri na kigaidi la ISIS (Daesh), Ibrahim al Sammarai, maarufu kama Abu Bakr al-Baghdadi, amepewa sumu akiwa pamoja na makamanda wengine wa kundi hilo katili.
-
Ayatullah Khatami: Saudia ni chimbuko la magaidi wa Daesh (ISIS)
Sep 16, 2016 10:26Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema jinai za kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh au ISIS zinatokana na fikra za kuwakufurisha Waislamu ambazo zinatawala Saudi Arabia.
-
Morocco yaangamiza kundi la kigaidi linalofungamana na ISIS
Sep 07, 2016 23:27Wakuu wa Morocco wametangaza kufanikiwa kuangamiza kundi moja la kigaidi nchini humo.