Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Mamilionea wa Marekani wasema hawataunga mkono kampeni za Trump 2020

    Mamilionea wa Marekani wasema hawataunga mkono kampeni za Trump 2020

    Dec 25, 2018 10:58

    Utafiti wa maoni uliofanywa na shirika la habari la CNBC unaonesha kuwa Rais Donald Trump wa Marekani anaendelea kupoteza uungaji mkono sio tu miongoni mwa wananchi, bali pia miongoni mwa wafanyabiashara matajiri waliomuunga mkono katika kampeni zake za uchaguzi uliopita mwaka 2016.

  • Shughuli za serikali ya Marekani  Zaendelea kukwama, Trump hana Krismasi

    Shughuli za serikali ya Marekani Zaendelea kukwama, Trump hana Krismasi

    Dec 24, 2018 01:08

    Sehemu kubwa ya shughuli za serikali ya Marekani zitaendelea kusitishwa kwa siku tano, kutokana na mkwamo kwenye ufadhili wa ujenzi wa ukuta wa kuzuia wahajiri katika mpaka wa Marekani na Mexico.

  • Wimbi la jumbe za

    Wimbi la jumbe za "Trump Jiuzulu" lamiminika kwenye mtandao wa Twitter ndani ya Marekani

    Dec 23, 2018 11:47

    Shakhsia wengi maarufu na wabunge wa Kongresi ya Marekani wamekuwa wakituma jumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kumtaka rais wa nchi hiyo Donald Trump ang'atuke madarakani.

  • "Mbwa Kichaa" ajiuzulu, sababu ni hitilafu kati yake na Donald Trump

    Dec 21, 2018 01:10

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani James Mattis maarufu kwa jina la "Mbwa Kichaa" amejiuzulu wadhifa huo kutokana na hitilafu za kimitazamo kati yake na Rais Donald Trump wa hiyo.

  • Ukosoaji mkali wa Papa Francis kwa mienendo ya madola ya Magharibi kuhusu wahajiri

    Ukosoaji mkali wa Papa Francis kwa mienendo ya madola ya Magharibi kuhusu wahajiri

    Dec 20, 2018 23:07

    Tatizo la kilimwengu la wahajiri ni ukweli ambao umedhihirika wazi katika miaka ya hivi karibuni tena kwa namna ambayo haijawahi kushuhudiwa.

  • Uamuzi wa Trump wa kuondoka askari wa Marekani nchini Syria

    Uamuzi wa Trump wa kuondoka askari wa Marekani nchini Syria

    Dec 20, 2018 07:06

    Baada ya kuanza mgogoro wa Syria mwaka 2011, Marekani kama kinara wa nchi za Magharibi ikishirikiana na Italia na Ufaransa katika jitihada za kutimiza malengo ya Magharibi na baadhi ya nchi za Kiarabu ya kutaka kuangamiza kambi ya mapambano Mashariki ya Kati na kuiondoa madarakani serikali halali ya Syria, ilijikita zaidi katika suala la kuyasaidia makundi ya kigaidi na waasi wanaobeba silaha kwa ajili ya eti kuiondoa madarakani serikali ya Rais Bashar Assad.

  • Shamkhani: Ubeberu wa kimataifa unataka kutoa pigo dhidi ya Iran

    Shamkhani: Ubeberu wa kimataifa unataka kutoa pigo dhidi ya Iran

    Dec 19, 2018 11:52

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa nchini Iran amesema kuwa, ubeberu wa kimataifa unaoongozwa na Marekani umezidisha vikwazo na mashinikizo kwa shabaha ya kutoa pigo na dhoruba dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lakini utashindwa na kufeli kama ilivyokuwa katika kipindi chote cha miaka 40 iliyopita.

  • Indhari kali ya Putin kwa Washington; kuimarisha nguvu ya nyuklia ya Russia

    Indhari kali ya Putin kwa Washington; kuimarisha nguvu ya nyuklia ya Russia

    Dec 19, 2018 07:58

    Rais Donald Trump wa Marekani tarehe 20 Oktoba mwaka huu alitangaza kuwa nchi yake itajitoa katika makubaliano ya silaha za nyuklia za masafa ya kati (INF). Kisingizio kikuu cha Marekani cha kutaka kujitoa kwenye mkataba huo wa kiistratijia na wenye umuhimu mkubwa ni madai kwamba Russia imekiuka vipengee vya makubaliano hayo.

  • Trump hamsazi yeyote, azishambulia vikali Facebook, Twitter na Google

    Trump hamsazi yeyote, azishambulia vikali Facebook, Twitter na Google

    Dec 19, 2018 04:19

    Sanjari na kuendelea kuwashambulia wakosoaji wake na hata kuwafukuza kazi wapambe wake, rais wa Marekani Donald Trump sasa ameelekeza makombora yake dhidi ya mashirika ya intaneti na mitandao ya kijamii ya Google, Facebook na Twitter.

  • Hillary Clinton: Uchaguzi wa Marekani unatawaliwa na mfumo dume

    Hillary Clinton: Uchaguzi wa Marekani unatawaliwa na mfumo dume

    Dec 18, 2018 23:19

    Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton ameushambulia mfumo wa uchaguzi wa nchi hiyo akiutaja kuwa unatawaliwa na mfumo dume.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS