-
Save the Children: Sudan inapitia kipindi kirefu zaidi cha kufungwa shule duniani
Jan 22, 2026 23:52Shirika la Save the Children limeonya kwamba vita vinavyoendelea nchini Sudan vimewanyima elimu watoto zaidi ya milioni 8, katika kile kinachoelezwa kama kipindi kirefu zaidi cha kufungwa shule duniani.
-
Uzalishaji wa bidhaa ambazo msingi wake elimu wapiga hatua nyingine nchini Iran
Sep 29, 2025 03:51Uzalishaji wa bidhaa ambazo msingi wake elimu umepiga hatua nyingine nchini Iran kutoka katika bidhaa bunifu za afya hadi kuboresha usahihi wa vifaa vya uchunguzi.
-
Malengo halisi ya Magharibi kuhusu Iran ni yapi?
Jul 30, 2025 08:29Vyombo vya habari vya kigeni, sambamba na kuripoti kauli ya hivi karibuni ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, vimezingatia kwa namna ya kipekee sehemu ya hotuba yake ambapo amesisitiza kuwa: “Mpango wa nyuklia, urutubishaji na haki za binadamu ni visingizio – wanachotaka wao ni dini na elimu yenu.”
-
UN: Zaidi ya Wanafunzi 100,000 Wamerejea Shuleni Ukanda wa Gaza
Mar 01, 2025 00:19Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa zaidi ya wanafunzi 100,000 wamejiandikisha mashuleni katika Ukanda wa Gaza baada ya mwaka mpya wa masomo kuanza Februari 23, na kuashiria kurudi mashuleni wanafunzi baada ya muda mrefu wa kusimamishwa masomo kutokana na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kiziayuni wa Israel dhidi ya watu wa eneo hilo la Palestina.
-
Nchi 35 duniani zinatumia dawa za kibioteknolojia za Iran
Feb 05, 2025 23:04Katibu wa Jumuiya ya Watengenezaji na Wasafirishaji wa Bidhaa za Dawa za Sekta ya Bioteknolojia ya Iran ametangaza bidhaa hizo zinauzwa katika nchi 35.
-
AU: Afrika ina uhaba wa walimu milioni 15
Jul 20, 2024 02:44Bara la Afrika linakabiliwa na upungufu wa walimu zaidi ya milioni 15. Hayo yamesemwa na Mohammed Belhocine, Kamishna wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ubunifu wa Umoja wa Afrika katika kikao na waandishi wa habari pambizoni mwa Kikao cha 45 cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya AU, mjini Accra, Ghana.
-
UNICEF yatoa mwito wa uwekezaji wa elimu kwa watoto Afrika
Jun 14, 2024 09:07Siku ya Mtoto wa Afrika inaadhimishwa kesho Jumapili. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema kuwa, uwekezaji mkubwa katika elimu ya msingi kwa watoto wa Afrika unahitajika ili kulisaidia bara hilo kutimiza ajenda yake ya muda mrefu ya ustawi na mabadiliko.
-
Iran ni mwenyeji wa wanafunzi zaidi ya laki saba wa kigeni
Dec 29, 2022 23:04Kuna wanafunzi zaidi ya laki saba (700,000) wa kigeni katika shule, taasisi za kielimu na Vyuo Vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran kati ya nchi 15 zinazovutia idadi kubwa ya wanafunzi wa kigeni
Jul 11, 2022 06:31Iran imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 15 duniani, zenye kuvutia idadi kubwa ya wanafunzi wa kigeni.
-
Rais Museveni asema shule zitafunguliwa Uganda mwezi huu
Jan 01, 2022 09:08Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema kuwa, shule za nchi hiyo ambazo zilikuwa zimefungwa tokea Machi 2020 kutokana na msambao wa maradhi ya Covid-19, sasa zitafunguliwa mwezi huu wa Januari, 2022.