Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Maparomoko ya ardhi yaua watu 23 Ethiopia, mvua kubwa zaendelea

    Maparomoko ya ardhi yaua watu 23 Ethiopia, mvua kubwa zaendelea

    May 28, 2018 03:01

    Watu 23 wamefariki dunia na wengine sita wamejeruhiwa kutokana na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa katikati ya Ethiopia.

  • Jumatatu, Mei 28, 2018

    Jumatatu, Mei 28, 2018

    May 27, 2018 23:43

    Leo ni Jumatatu mwezi 12 Ramadhani 1439 Hijria inayosadifiana na tarehe 28 Mei 2018 Milaadia.

  • Ethiopia yatoa msamaha kwa kiongozi wa upinzani aliyehukumiwa kifo

    Ethiopia yatoa msamaha kwa kiongozi wa upinzani aliyehukumiwa kifo

    May 26, 2018 10:56

    Serikali ya Ethiopia leo imetoa msamaha kwa kiongozi wa upinzani wa nchi hiyo mwenye uraia wa Uingereza ambaye alikuwa amehukumiwa adhabu ya kifo, ikiwa ni hatua mpya ya mlolongo wa utoaji msamaha na kuwaachia huru wapinzani iliyochukuliwa na serikali hiyo baada ya miaka kadhaa ya machafuko yaliyoshuhudiwa nchini humo.

  • Ethiopia yamwita nyumbani balozi wake mdogo kutoka Saudia

    Ethiopia yamwita nyumbani balozi wake mdogo kutoka Saudia

    May 24, 2018 02:55

    Vyombo vya habari vya nchi za Kiarabu vimetangaza kuwa, baada ya Ethiopia kumwita nyumbani balozi wake kutoka Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia, imemwita nyumbani pia balozi wake mdogo aliyekuweko mjini Jeddah.

  • Raia karibu 700 wa Ethiopia waliokuwa wamefungwa Saudia warejeshwa kwao

    Raia karibu 700 wa Ethiopia waliokuwa wamefungwa Saudia warejeshwa kwao

    May 21, 2018 03:22

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia imesema kuwa, karibu raia 700 wa nchi hiyo waliokuwa wamefungwa nchini Saudi Arabia, wamerejea nyumbani.

  • Saudia kuwatimua wahajiri laki tano raia wa Ethiopia

    Saudia kuwatimua wahajiri laki tano raia wa Ethiopia

    May 20, 2018 02:59

    Saudi Arabia imekubali ombi la Ethiopia la kuwaachia huru wahajiri wapatao elfu moja raia wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika, lakini imesisitiza kuwa itawafukuza nchini humo malaki ya wahajiri wengine wa nchi hiyo ya Kiafrika.

  • Imarati yamtimua balozi wake wa Ethiopia kwa kushindwa kuandaa safari ya mkuu wake

    Imarati yamtimua balozi wake wa Ethiopia kwa kushindwa kuandaa safari ya mkuu wake

    Apr 20, 2018 09:38

    Serikali ya Imarati imemrejesha nyumba na kumpiga kalamu nyekundu balozi wake nchini Ethiopia.

  • Waziri Mkuu mpya wa Ethiopia alifanyia mabadiliko baraza la mawaziri ili kutekeleza mageuzi

    Waziri Mkuu mpya wa Ethiopia alifanyia mabadiliko baraza la mawaziri ili kutekeleza mageuzi

    Apr 19, 2018 23:46

    Waziri Mkuu mpya wa Ethiopia Abiy Ahmed ameteua waziri mpya wa ulinzi ikiwa ni sehemu ya mabadiliko aliyofanya katika serikali yake ili kusaidia kutekeleza mageuzi yaliyokuwa yakipiganiwa na wananchi wakati wa maandamano ya machafuko ambapo mamia ya watu waliuliwa na askari wa usalama wa nchi hiyo.

  • Maelfu ya watu wakimbia makazi yao Ethiopia

    Maelfu ya watu wakimbia makazi yao Ethiopia

    Apr 16, 2018 09:50

    Maelfu ya watu wamelazimika kukimbia makazi yao katika maeneo ya mpaka wa Ethiopia na Somalia kutokana na mapigano makali yanayoendelea katika eneo hilo.

  • Waziri Mkuu mpya wa Ethiopia auzuru mji uliokuwa kitovu cha maandamano dhidi ya serikali

    Waziri Mkuu mpya wa Ethiopia auzuru mji uliokuwa kitovu cha maandamano dhidi ya serikali

    Apr 11, 2018 22:04

    Waziri Mkuu mpya wa Ethiopia jana Jumatano aliahidi kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazoukabili mkoa anakotoka wa Oromo; ambao umekuwa kitovu cha machafuko makubwa yaliyotishia uhai wa muungano wa chama tawala nchini Ethiopia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS