-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia nchini Ethiopia
Mar 09, 2018 22:00Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amewasili Addis Ababa kwa shabaha ya kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Ethiopia.
-
Wananchi wa Ethiopia wafanya mgomo kulalamikia 'hali ya hatari'
Mar 06, 2018 04:33Shughuli za kawaida zimelemazwa kutokana na mgomo wa wananchi wa Ethiopia katika mji mkuu Addis Ababa na miji mingine, wanaolalamikia sheria ya hali ya hatari kwa muda wa miezi sita kufuatia kujiuzulu Waziri Mkuu Hailemariam Desalign.
-
Ethiopia yanunua hisa za Bandari ya Berbera Somaliland
Mar 02, 2018 04:21Serikali ya Ethiopia imenunua asilimia 19 ya hisa za Bandari ya Berbera iliyoko katika Jamhuri iliyojitangazia uhuru ya Somaliland nchini Somalia.
-
Ethiopia yaakhirisha mkutano wake na Misri kuhusu bwawa la al-Nahdha
Feb 18, 2018 23:33Misri imekubali ombi la Ethiopia la kuakhirisha mkutano wa pande mbili wa kujadili suala tata la bwawa la al-Nahdha linalojengwa na Uhabeshi, baada ya Adiss Ababa kutangaza sheria ya hali ya hatari.
-
Kufuatia kujiuzulu Waziri Mkuu, sheria ya hali ya hatari kutawala Ethiopia kwa muda wa miezi sita
Feb 17, 2018 13:47Waziri wa Ulinzi wa Ethiopia Siraj Fegessa amesema sheria ya hali ya hatari itaendelea kutekelezwa nchini humo kwa muda wa miezi sita kufuatia kujiuzulu Waziri Mkuu Hailemariam Desalign.
-
Kutangazwa hali ya hatari nchini Ethiopia
Feb 17, 2018 09:56Serikali ya Ethiopia imetangaza hali ya hatari nchini humo siku moja baada ya kujiuzulu Hailemariam Desalegn Waziri Mkuu wa nchi hiyo.
-
Kiongozi wa upinzani Ethiopia: Pande zote zinahitaji mgawo zaidi katika mustakbali wa nchi hiyo
Feb 16, 2018 10:46Kiongozi wa upinzani nchini Ethiopia amesema leo kuwa muungano tawala nchini humo umepoteza mamlaka yake na kwamba vyama vyote nchini humo vinapasa kushirikishwa katika kuainisha mustakbali wa nchi hiyo. Kiongozi huyo wa upinzani ameyasema hayo ikiwa imepita siku moja baada ya kujiuzulu Waziri Mkuu wa nchi hiyo Hailemariam Desalegn.
-
Kujiuzulu Waziri Mkuu wa Ethiopia
Feb 16, 2018 09:41Hailemariam Desalegn, Waziri Mkuu wa Ethiopia amejiuzulu kufuatia malalamiko na maandamano ya mara kwa mara ya watu wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia ajiuzulu baada ya machafuko ya ndani
Feb 15, 2018 12:46Waziri Mkuu wa Ethiopia amejiuzulu nyadhifa zake zote mbili kama waziri mkuu na Mwenyekiti wa chama tawala.
-
UN: Wahajiri 22 wa Ethiopia watoweka baada ya kuzamishwa baharini
Feb 09, 2018 22:06Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema wahajiri 22 raia wa Ethiopia wanahofiwa kufa maji baada ya kutupwa baharini, katika pwani ya Yemen.