-
Mamia wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Ethiopia
Sep 26, 2017 04:29Serikali ya Ethiopia imesema mamia ya watu wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyozuka mapema mwezi huu kusini na mashariki mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Watu 50 wauawa, 50,000 wakimbia mapigano mashariki mwa Ethiopia
Sep 18, 2017 22:08Watu zaidi ya 50 wameuawa katika mapigano ya wiki moja katika maeneo la Oromiya na Somali nchini Ethiopia huku wengine 50,000 wakilazimika kukimbia makazi yao.
-
UN: Ethiopia inakabiliwa na Janga la njaa linaloweza kuongezeka
Sep 05, 2017 23:12Uwekezaji wa kina unahitajika ili wakazi wanaokabiliwa na njaa kutokana na ukame uliokithiri katika jimbo la Somali nchini Ethiopia waweze kustahimili ukame wa mara kwa mara unaosababishwa na athari za mabadiliko ya tabianchi.
-
Mapigano makali yaikumba Sudan Kusini karibu na mpaka na Ethiopia
Aug 11, 2017 11:44Mapigano makali yameripotiwa kujiri leo katika mji wa Pagak nchini Sudan Kusini karibu na mpaka wa nchi hiyo na Ethiopia wakati waasi walipoanzisha mashambulizi dhidi ya askari jeshi wa serikali.
-
Ijumaa 11 Agosti, 2017
Aug 10, 2017 23:59Leo ni Ijumaa tarehe 18 Dhulqaada 1438 Hijria, sawa na 11 Agosti 2017.
-
Bunge la Ethiopia laondoa sheria ya hali ya hatari iliyokuwa ikitekelezwa nchini humo
Aug 04, 2017 10:30Bunge la Ethiopia leo limeondoa sheria ya hali ya hatari iliyokuwa ikitekelezwa kwa miezi kadhaa sasa katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Saudia yawafukuza maelfu ya vibarua Waethoipia kutokana na matatizo ya kiuchumi
Aug 02, 2017 09:51Utawala wa Aal Saud umewafukuza maelfu ya wafanyakazi za vibarua raia wa Ethiopia kutokana na matatizo ya kifedha yanayoikabili nchi hiyo.
-
Raia 15 wa Ethiopia wakabiliwa na mashtaka ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi
Jul 17, 2017 23:14Mahakama Kuu ya Kifederali ya Ethiopia imetangaza kuwa, raia 15 wa nchi hiyo wanakabiliwa na mashtaka ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi vilivyokuwa na lengo la kuidhoofisha serikali ya nchi hiyo.
-
Tahadhari kuhusu hali ya watoto mashariki mwa Ethiopia
Jul 02, 2017 10:48Shirika la madaktari wasio na mipaka wameonya kuhusu hali mbaya ya watoto wadogo mashariki mwa Ethiopia.
-
Ethiopia kuishiwa na misaada ya dharura ya chakula
Jun 23, 2017 03:37Mashirika ya Kimataifa yametahadharisha kuwa, Ethiopia itaishiwa na misaada ya chakula ya dharura katika kipindi cha mwezi ujao, hali ambayo itawasibu karibu watu milioni nane walioathiriwa na ukame.