-
Indhari ya FAO: Watu karibu milioni moja wanakabiliwa na hatari ya njaa
Sep 21, 2022 22:38Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha kuwa watu karibu milioni moja wanakabiliwa na hatari ya kukumbwa na njaa katika maeneo mbalimbali duniani.
-
Euro bilioni 1.8 zakusanywa kwa ajili ya kupambana na njaa Afrika Magharibi
Apr 08, 2022 22:00Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, Euro bilioni 1.8 zimekusanywa kwa ajili ya kupambana na janga la njaa Afrika Magharibi.
-
FAO yatoa wito wa kuwasaidia waathirika wa ukame katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia
Feb 04, 2022 04:23Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO katika Ukanda wa Afrika Mashariki limetoa wito kwa wananchi, taasisi binafsi na mashirika ya dini kuchangia wananchi walioathirika na ukame pamoja na mazao yao kuharibiwa na nzige katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia.
-
Jumamosi, 16 Oktoba, 2021
Oct 15, 2021 23:01Leo ni Jumamosi tarehe 9 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1443 Hijria sawa na tarehe 16 Oktoba 2021.
-
Indhari ya WFP na FAO kuhusu baa la njaa katika nchi kadhaa duniani
Nov 07, 2020 04:03Mashirika ya Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) na Mpango wa Chakula Duniani (WFP) yametahadharisha kuhusu njaa katika maeneo kadhaa duniani.
-
Ijumaa, tarehe 16 Oktoba, 2020
Oct 15, 2020 23:04Leo ni Ijumaa tarehe 28 Safar 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 16 Oktoba 2020.
-
FAO: Kenya imechukua hatua muafaka kuangamiza nzige
Jul 29, 2020 03:06Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa FAO linasema Kenya imepiga hatua kubwa katika kudhibiti nzige wa jangwani ambao walivamia eneo la Afrika Mashariki mapema na kwingineko mwezi February na kusababisha uharibifu mkubwa wa mazao.
-
Waafrika milioni 239 wanakabiliwa na njaa, utapiamlo
Feb 09, 2020 08:44Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa FAO Marina Helena Semedo amesema watu takriban milioni 239 wa Afrika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara wanakabiliwa na tatizo la njaa na utapiamlo.
-
FAO: Bei ya chakula duniani imepanda kuanzia mwezi Novemba
Dec 06, 2019 23:17Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa bei ya chakula duniani imepanda ndani ya mwezi uliopita wa Novemba.
-
Shirika la FAO lasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran
Nov 28, 2019 07:02Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesisitizia azma yake ya kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano kati yake na Iran.