-
Siku ya Gaza, hatua athirifu katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina
Jan 19, 2019 08:31Siku ya Gaza ambayo ni nembo ya kuwaunga mkono wakazi wa eneo la Gaza huko Palestina wanaokabiliwa na mzingiro imewadia katika hali ambayo, katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, Palestina imeshuhudia kuongezeka harakati za wananchi zenye lengo la kuuvunja mzingiro wa Gaza.
-
Alkhamisi, tarehe 17 Januari, 2019
Jan 16, 2019 23:13Leo ni Alkhamisi tarehe 10 Jamadil Awwal 1440 Hijria sawa na Januari 17 mwaka 2019.
-
Misri kuanzisha kivuko cha kibiashara kati yake na Ghaza
Jan 12, 2019 23:29Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametangaza habari ya kuanzishwa kivuko cha kibiashara katika mpaka wa Ukanda wa Ghaza na Misri.
-
Israel yanyunyizia kemikali za sumu katika mashamba ya Wapalestina wa Gaza
Jan 11, 2019 23:24Katika kile kinachoonekana ni kushadidisha ukatili dhidi ya Wapalestina, utawala wa Kizayuni wa Israel umeripotiwa kunyunyizia kemikali za sumu katika mashamba ya kilimo ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Lieberman akiri, maandamano ya Haki ya Kurejea yametoa pigo kwa Israel
Dec 05, 2018 03:41Waziri wa Vita aliyejiuzulu wa Israel amekiri kwamba, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa mashinikizo makubwa kwa utawala huo kupitia maandamano yanayofanywa kila siku ya Ijumaa na raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Al-Ahram: Muqawama wa Gaza umeiweka Israel katika fedheha na kushindwa
Nov 20, 2018 23:10Gazeti la Al-Ahram la nchini Misri limeandika kwamba, kurudi nyuma utawala haramu wa Kizayuni katika kukabiliana na muqawama wa eneo la Gaza, Palestina sasa kumeuweka utawala huo katika hali ya fedheha na kushindwa kijeshi.
-
UN yalaani jinai mpya za Wazayuni Palestina
Oct 30, 2018 01:15Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuwaua watoto wa Palestina hakikubaliki kabisa.
-
Jeshi la Israel laendeleza ukatili wake, laua Wapalestina 5 Ghaza
Oct 27, 2018 02:22Kwa akali Wapalestina watano wameuawa shahidi huku mamia ya wengine wakijeruhiwa baada ya jeshi la Israel kuwamiminia risasi na kuvurumishia mabomu ya kutoa machozi waandamanaji wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Hamas: Baadhi ya nchi za Kiarabu zinaichochea Israel iishambulie Gaza
Sep 30, 2018 23:09Mwanachama wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametahadharisha kuwa baadhi ya nchi za Kiarabu zinaushawishi utawala wa Kizayuni utekeleze mashambulizi huko Ghaza.
-
Jeshi la Israel laendeleza ukatili wake, laua Wapalestina 7 Gaza
Sep 29, 2018 04:43Kwa akali Wapalestina saba wameuawa shahidi huku wengine zaidi ya 500 wakijeruhiwa baada ya jeshi la Israel kuwamiminia risasi na kuvurumishia mabomu ya kutoa machozi waandamanaji wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.