-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu undumakuwili wa nchi za Magharibi
Jun 11, 2018 06:07Ayatullahil Udhma Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumapili katika mkutano wake na mamia ya wahadhiri wa vyuo vikuu na wasomi kutoka taasisi mbali mbali za utafiti nchini alibainisha nafasi ya juu ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa kimataifa.
-
Palestina yaitaka UN ichunguze mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza
Jun 09, 2018 03:18Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa Baraza Kuu la umoja huo kukumbatia azimio linalotaka kuchunguzwa jinai za kutisha zinazoendelea kufanywa na wanajeshi katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Baraza la Usalama la UN: Haiwezekani kuupuuza mzingiro wa miaka 10 dhidi ya Gaza
May 31, 2018 03:01Wawakilishi wa nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamesema muongo mzima wa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni ni mambo ambayo hayawezi kupuuzwa.
-
Israel yawakamata wanaharakati na boti zao Ukanda wa Ghaza
May 30, 2018 03:06Vikosi vya baharini vya utawala wa Kizayuni wa Israel jana vimeusimamisha msafara wa boti za wanaharakati wa Kipalestina waliokuwa na nia ya kuvunja mzingiro wa kidhalimu wa miaka 11 katika Ukanda wa Ghaza.
-
Utawala wa Kizayuni wa Israel wahujumu Ukanda wa Ghaza
May 29, 2018 09:36Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel leo zimetekeleza mashambulizi dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Kifaru cha Israel chaua shahidi Wapalestina 3 Gaza
May 27, 2018 09:13Kwa akali Wapalestina watatu wameuawa shahidi kufuatia shambulizi la kifaru cha utawala wa Kizayuni wa Israel mashariki mwa mji wa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Wazayuni waendelea kuwaua shahidi na kuwajeruhi Wapalestina
May 26, 2018 03:18Kijana mmoja wa Palestina ameuawa shahidi huku watu wengine 109 wakijeruhiwa katika maandamano ya 'Haki ya Kurejea' yaliyofanyika jana Ijumaa katika Ukanda wa Gaza.
-
Wapalestina 3 waaga dunia kutokana na majeraha ya risasi za Israel
May 19, 2018 23:34Wapalestina watatu waliojeruhiwa vibaya na risasi za jeshi katili la Israel katika Ukanda wa Gaza wiki iliyopita wamefariki dunia.
-
Israel yapinga kuundwa kamati ya kimataifa ya kuchunguza jinai za Gaza
May 19, 2018 21:53Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya utawala haramu wa Israel imepinga vikali uamuzi wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa wa kutaka wachunguzi wa kimataifa wa jinai za vita wapelekwe haraka Ukanda wa Gaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu kufanya uchunguzi kuhusu mauaji ya kinyama ya Wapalestina yaliyofanywa na askari wa Israel.
-
UNHRC lapitisha azimio la kutumwa haraka Gaza timu ya wachunguzi wa jinai za vita
May 19, 2018 03:41Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC) limepiga kura ya kutaka wachunguzi wa kimataifa wa jinai za vita wapelekwe haraka Ukanda wa Gaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu kufanya uchunguzi kuhusu mauaji ya kinyama ya Wapalestina yaliyofanywa na askari wa Israel.