• HAMAS yatilia mkazo umuhimu wa uungaji mkono wa Iran kwa kambi ya muqawama

    HAMAS yatilia mkazo umuhimu wa uungaji mkono wa Iran kwa kambi ya muqawama

    Apr 28, 2016 10:43

    Osama Hamdan, Mkuu wa uhusiano wa kimataifa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuna udharura wa kuzidishwa uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kambi ya muqawama ili kupunguza machungu na mateso wanayopata Wapalestina kutokana na muendelezo wa siasa za kidhalimu za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • HAMAS yaiomba OIC ichukue hatua za kuisaidia Palestina

    HAMAS yaiomba OIC ichukue hatua za kuisaidia Palestina

    Apr 14, 2016 23:45

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeiomba Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ilisaidie taifa la Palestina katika kukabiliana na uvamizi na ukaliaji wa mabavu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • HAMAS: Mapambano ndio njia pekee ya kuwakomboa mateka wa Kipalestina

    HAMAS: Mapambano ndio njia pekee ya kuwakomboa mateka wa Kipalestina

    Apr 04, 2016 23:53

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, mapambano ndio njia pekee ya kuwakomboa mateka wa Kipalestina walioko katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas yakana kuzungumza na Misri kuhusu askari mateka wa Israel

    Hamas yakana kuzungumza na Misri kuhusu askari mateka wa Israel

    Apr 04, 2016 12:00

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amekanusha madai ya kuwepo aina yoyote ya mazungumzo baina ya harakati hiyo na Misri kuhusu askari wa Israel wanaoshikiliwa mateka na Hamas.

  • Hamas yasisitiza kukombolewa Palestina

    Hamas yasisitiza kukombolewa Palestina

    Mar 30, 2016 23:50

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema kuwa mapambano ndio njia pekee ya kukomboa ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni wa Isarel.

  • Fat-h na Hamas zaafikiana kutekeleza maelewano ya kitaifa

    Fat-h na Hamas zaafikiana kutekeleza maelewano ya kitaifa

    Mar 30, 2016 02:31

    Mwakilishi wa Harakati ya Fat-h huko Ghaza amesema kuwa hakuna makubaliano mapya katika ajenda ya kazi, bali kile kilichopo ni kufikiwa makubaliano kuhusu utekelezaji wa maelewano ya kitaifa ya Palestina.

  • Misri yatoa sharti kwa Hamas la kufanikisha maridhiano ya Wapalestina

    Misri yatoa sharti kwa Hamas la kufanikisha maridhiano ya Wapalestina

    Mar 27, 2016 10:03

    Gazeti la Ra'yul-Yaum linalochapishwa London, Uingereza limeripoti kuwa serikali ya Misri imetoa masharti kwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ili kutekeleza maombi ya harakati hiyo.

  • HAMAS: Intifadha itaendelea hadi malengo ya Wapalestina yafikiwe

    HAMAS: Intifadha itaendelea hadi malengo ya Wapalestina yafikiwe

    Mar 25, 2016 21:12

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema Intifadha ya Quds itaendelea hadi malengo ya Wapalestina yafikiwe.

  • Hamas yatunisha misuli yake Ukanda wa Gaza

    Hamas yatunisha misuli yake Ukanda wa Gaza

    Mar 23, 2016 21:42

    Wapiganaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas wamefanya mazoezi ya kijeshi katika eneo la Ukanda wa Gaza kwa shabaha ya kuzidisha utayarifu wao kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya aina yoyote ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas yalaani ukatili unaofanywa na Wazayuni

    Hamas yalaani ukatili unaofanywa na Wazayuni

    Mar 20, 2016 22:48

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali hatua ya Wazayuni wa Israel ya kuchoma moto nyumba ya shahidi pekee wa jinai ya kuchomwa moto nyumba na familia ya al Sa'ad Dawabsheh na kuteketezwa watu wa familia hiyo wakiwa hai.