• Iran: Tumeshaandaa mazingira ya kutoa jibu kali dhidi ya Israel

    Iran: Tumeshaandaa mazingira ya kutoa jibu kali dhidi ya Israel

    Aug 10, 2024 13:43

    Mshauri wa masuala ya kisiasa wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei amesema mazingira yameshaandaliwa kwa ajili ya Iran kutoa jibu kali na la kuumiza dhidi ya Israel, kutokana na hatua ya utawala huo wa Kizayuni kumuua shahidi Ismail Haniyah, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS.

  • Iran yakadhibisha madai ya kutaka kuingilia uchaguzi wa Marekani

    Iran yakadhibisha madai ya kutaka kuingilia uchaguzi wa Marekani

    Aug 10, 2024 11:12

    Ofisi ya uwakilishi wa kudumu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imepuuzilia mbali madai kuwa Jamhuri ya Kiislamu inakula njama ya kuathiri matokeo ya uchaguzi wa rais wa Marekani utakaofanyika baadaye mwaka huu.

  • Kipaumbele cha Iran ni usitishaji vita huko Gaza, utawala wa Israel utatiwa adabu

    Kipaumbele cha Iran ni usitishaji vita huko Gaza, utawala wa Israel utatiwa adabu

    Aug 10, 2024 10:36

    Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa, haki ya kujilinda kuhusiana na mauaji ya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas mjini Tehran haina uhusiano wowote na usitishaji vita huko Gaza na kusema kuwa, usitishaji vita katika eneo la Magharibi mwa Asia ni kipaumbele cha Iran.

  • Iran: Israel imetengwa zaidi kisiasa duniani baada ya kumuua kigaidi Haniyah

    Iran: Israel imetengwa zaidi kisiasa duniani baada ya kumuua kigaidi Haniyah

    Aug 09, 2024 07:20

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, kulaaniwa Israel kote duniani kwa mauaji ya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Ismail Haniyah kumezidisha kutengwa kisiasa kwa utawala huo wa Kizayuni.

  • Kani: Iran haina mipaka katika kuimarisha uhusiano na Afrika

    Kani: Iran haina mipaka katika kuimarisha uhusiano na Afrika

    Aug 09, 2024 07:19

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haina kikomo wala mipaka katika kuimarisha na kupanua uhusiano wake na nchi za bara Afrika.

  • Kikao cha OIC cha mjini Jeddah na majukumu ya nchi za Kiislamu

    Kikao cha OIC cha mjini Jeddah na majukumu ya nchi za Kiislamu

    Aug 08, 2024 09:58

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeamua kuitisha kikao dha dharura mjini Jeddah, Saudi Arabia wakati huu ambapo Iran na kambi ya muqawama inajiandaa kutoa majibu makali kwa Israel kutokana na vitendo vya kigaidi vya utawala wa Kizayuni.

  • Bagheri: Haturuhusu usalama wa kanda hii uchezewe na Israel

    Bagheri: Haturuhusu usalama wa kanda hii uchezewe na Israel

    Aug 07, 2024 11:27

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uamuzi wa Tehran wa kutekeleza hatua hahali, madhubuti na ya kuutia adabu utawala wa Kizayuni na kusisitiza kuwa: Iran haitaruhusu Israel ichezee usalama wa kanda hii kwa maslahi haramu ya genge la kigaidi linalotawala huko Tel Aviv.

  • Bagheri Kani: Iran itatoa jibu madhubuti kwa ugaidi wa Israel

    Bagheri Kani: Iran itatoa jibu madhubuti kwa ugaidi wa Israel

    Aug 07, 2024 07:06

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema utawala wa Israel ndio chanzo halisi cha ukosefu wa utulivu katika eneo la Asia Magharibi, na kwamba utawala huo wa Kizayuni unapata ujasiri wa kutenda jinai na vitendo vyake vya kigaidi kutokana na kimya cha nchi za Ulaya.

  • Mahakama: Iran itatumia uwezo wake wote kujibu mauaji ya Haniyah

    Mahakama: Iran itatumia uwezo wake wote kujibu mauaji ya Haniyah

    Aug 07, 2024 02:28

    Msemaji wa Idara ya Mahakama ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatumia uwezo wake wote kulipiza kisasi cha mauaji ya Ismail Haniyah, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS), akiwa mjini Tehran.

  • Iran na Russia katika mkondo wa kuimarisha ushirikiano

    Iran na Russia katika mkondo wa kuimarisha ushirikiano

    Aug 06, 2024 14:12

    Jumatatu ya jana tarehe 5 Agosti, Katibu wa Baraza la Usalama la Taifa la Shirikisho la Russia  aliwasili mjini Tehran kwa lengo la kuimarisha maingiliano na kuchunguza masuala ya kieneo, kimataifa na uhusiano wa pande mbili.