-
Iran: Tuko tayari kushirikiana na nchi za magharibi mwa Afrika kupambana na ugaidi
Nov 16, 2021 08:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu y Iran ameelezea kusikitishwa kwake na kupoteza maisha na kujeruhiuwa idadi kubwa ya raia wa Burkina Faso katika shambulio la hivi karibuni la kigaidi na kusisitiza kuwa, Tehran iko tayari kushirikiana na nchi za magharibi mwa Afrika katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Mjumbe Maalumu wa Iran: Marekani inaunga mkono ISIS
Nov 15, 2021 08:21Mjumbe Maalum wa Rais wa Iran katika masuala ya Afghanistan amesema Marekani ilipata pigo na kushindwa vibaya huko Afghanistan, na sasa inajaribu kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Tahadhari ya Tsunami Ghuba ya Uajemi baada ya mtetemeko wa ardhi kusini mwa Iran
Nov 14, 2021 11:51Tahadhari ya kutokea mawimbi makali ya Tsunami imetolewa leo baada ya mtetemeko wa ardhi uliotokea katika mkoa wa Hormozgan kusini mwa Iran ukiwa na ukubwa wa 6.4 kwa kipimo cha Rishta.
-
Iran: Tuna nia njema tunapoingia kwenye mazungumzo ya Vienna
Nov 14, 2021 04:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii ina azma na nia njema inapojiandaa kuingia katika duru mpya ya mazungumzo ya Vienna kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Madai ya Biden kuhusu uuzaji wa mafuta ya Iran, mtazamo wa kihasama na usio wa kweli
Nov 13, 2021 23:15Rais Joe Biden wa Narekani Ijumaa iliyopita aliiandikia Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya nchi hiyo akidai kuwa, mafuta na bidhaa zinazotokana na mafuta zimejaa masokoni kiasi kwamba nchi mbalimbali zinaweza kupunguza ununuzi wa mafuta kutoka Iran.
-
Iran yaipongeza Algeria kwa kupinga Israel kuwa mwanachama mwangalizi Umoja wa Afrika
Nov 12, 2021 07:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya hivi karibuni ya Algeria kupinga utawala haramu wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika.
-
CBS: Shambulizi la Iran dhidi ya kambi ya Marekani ya Ainul Asad ni moja kati ya mashambulizi makubwa zaidi katika historia
Nov 12, 2021 04:24Tovuti ya mtandao wa habari wa Marekani CBS imefichua mapya yaliyokuwa yamefichwa na serikali ya Marekani kuhusu shambulizi ya makombora ya Iran dhidi ya kambi ya jeshi la nchi hiyo ya Ainul Asad nchini Iraq.
-
Vikwazo vya Upande mmoja, kizuizi cha malengo ya ustawi endelevu
Nov 12, 2021 00:10Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, vikwazo vya upande mmoja vya Marekani vinazizuia nchi mbalimbali kupata vyanzo vya fedha na ustawi unaohitajika kwa ajili ya kutimiza malengo ya ustawi endelevu.
-
"Iran inataka 'makubaliano mazuri' katika mazungumzo ya Vienna"
Nov 11, 2021 04:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili limejiandaa kwa ajili ya kufikiwa 'makubaliano mazuri' katika mazungumzo ya Vienna kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA, yanayotazamiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu.
-
Maelfu ya wakimbizi wa Kiafghani wanaingia Iran kila siku
Nov 11, 2021 04:39Shirika moja la Ulaya la kushughulikia maslahi ya wakimbizi limeiasa jamii ya kimataifa kuwapa msaada wa chakula na makazi maelfu ya wakimbizi wanaoingia nchini Iran kila siku wakitokea Afghanistan.