-
Marekani yaendeleza uhasama dhidi ya Iran, mara hii ni kwa kisingizio cha haki za binadamu
Mar 15, 2019 12:58Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa ripoti yake ya kila mwaka kuhusu hali ya haki za binadamu katika nchi mbalimbali na kwa mara nyingine tena imedai kuwa, hali ya haki za binadamu nchini Iran imekuwa mbaya zaidi.
-
Iran yaungana na dunia kulaani mashambulizi ya kigaidi dhidi ya misikiti New Zealand
Mar 15, 2019 12:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani mashambulio ya kigaidi yaliyofanywa dhidi ya misikiti miwili katika mji wa Christchurch nchini New Zealand, amezitaka nchi za Magharibi kuacha unafiki wa kuunga mkono propaganda chafu dhidi ya Waislamu kwa kisingizio cha 'uhuru wa kujieleza'.
-
Ayatullah Kashani: Taifa la Iran halitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya maadui
Mar 15, 2019 12:17Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema maadui wamekuwa wakitumia njama mbalimbali kama za kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni ili kutoa pigo kwa mfumo wa Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, lakini amesisitiza kuwa, katu taifa kubwa la Iran haliwezi kusalimu amri mbele ya mashinikizo ya maadui.
-
Iran yapiga marufuku ndege za Boeing 737 Max kuruka katika anga yake
Mar 15, 2019 12:13Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepiga marufuku ndege ya Marekani aina ya Boeing 737 Max kutumia anga yake kufuatia kuanguka ndege mpya ya aina hiyo ya Shirika la Ndege la Ethiopia hivi karibuni.
-
Iran: Marekani inatumia tuhuma bandia ili kupanua soko la silaha zake
Mar 14, 2019 21:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema lengo la Marekani kuibua tuhuma zisizo na msingi na kueneza chuki dhidi ya Iran ni kupanua soko la silaha zake katika eneo la Asia Magharibi.
-
Kumalizaka mazungumzo ya siku tatu ya Sheikhe mwanadiplomasia nchini Iraq
Mar 14, 2019 07:56Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano alihitimisha mazungumzo yake na viongozi wa Iraq katika safari yake ya siku tatu nchini humo kwa kufika mji mtakatifu wa Najaf na kufanya mazungumzo na Ayatullah Sistani, marjaa taqlid wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
-
Waziri wa Ulinzi: Iran inajiimarisha kiulinzi ili kuzima uchokozi wa maadui
Mar 13, 2019 04:23Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwezo wa kiulinzi wa nchi hii utaendelezwa na kupanuliwa zaidi na kwa kasi kwa shabaha ya kuzuia chokochoko za maadui.
-
Zarif: Marekani haiwezi kuzuia kustawi uhusiano wa Iran na Iraq
Mar 12, 2019 04:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani haina uwezo wa kusimamisha uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Iraq, na kwamba serikali ya Baghdad imejenga uhusiano huo katika misingi ya matakwa na maslahi ya taifa hilo.
-
Jumanne, tarehe 12 Machi, 2019
Mar 11, 2019 23:15Leo ni Jumanne tarehe 5 Rajab 1440 Hijria sawa na tarehe 12 Machi 2019.
-
Ulimwengu wa Spoti, Machi 11
Mar 11, 2019 03:54Hujambo mpenzi msikilizaji na haswa mfuatiliaji wa masuala ya spoti na karibu katika dakika hizi chache za kutupia jicho baadhi ya matukio muhimu yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.