-
EU: Makubaliano ya nyuklia ya Iran hayana chaguo jengine mbadala
Nov 15, 2018 04:34Kamishna wa Umoja wa Ulaya wa Uadilifu, amesema hakuna chaguo jengine lolote mbadala na lenye itibari kwa ajili ya makubaliano ya nyuklia ya Iran, JCPOA.
-
Rwanda yasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran
Nov 15, 2018 00:02Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Richard Sezibera amepongeza uhusiano mzuri wa pande mbili kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitizia umuhimu wa kupanuliwa uhusiano huo katika nyuga mbalimbali.
-
Rais Rouhani: Vikwazo havina athari yoyote kwa uuzaji mafuta ya Iran
Nov 14, 2018 12:41Rais Hassan Rouhani amesema: Vikwazo batili na vya kidhalimu vya Marekani havina athari yoyote kwa uuzaji mafuta ya Iran.
-
Kongo na Iran kuimarisha ushirikiano wao katika uga wa habari
Nov 13, 2018 11:06Mkuu wa shirika rasmi la habari la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kupiga hatua za maendeleo katika nyuga mbalimbali ikiwemo sekta ya uandishi wa habari, huku akitoa mwito wa kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili katika uga huo.
-
Zarif: Iran inajua mpango wa Saudia wa kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa Iran
Nov 13, 2018 04:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran ikuwa na habari kuhusu mpango wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia wa kutaka kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya baadhi ya maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
IAEA yathibitisha kwa mara ya 13: Iran inatekeleza kikamilifu JCPOA
Nov 13, 2018 00:29Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki umetoa ripoti yake mpya ya msimu na kuthibitisha kwa mara ya 13 kuwa Iran ingali inatekeleza ahadi na majukumu yake yote katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Mkutano wa Shirika la UN la Utalii wafanyika Iran
Nov 12, 2018 23:22Mkutano wa 40 Wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii duniani (UNWTO) ulianza Jumapili katika mji wa Hamedan magharibi mwa Iran.
-
Jeshi la Iran kulinda meli za mafuta baada ya vitisho vya Marekani
Nov 12, 2018 11:42Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza azma yake ya kulinda meli za mafuta za nchi hii kutokana na vitisho vya Marekani vya kuzizuia.
-
Ufaransa yasisitiza kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Nov 12, 2018 04:07Waziri wa Ufaransa anayehusika na masuala ya Ulaya amesisitiza kuwa Paris inaheshimu na kufungamana na Makubaliano ya Nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji yaani JCPOA.
-
Matukio ya Spoti, Nov 12
Nov 12, 2018 03:55Ufuatao ni ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita, likiwemo Debi la Machester