Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Salehi: Uwezo wa makombora wa Iran umeiduwaza dunia

    Salehi: Uwezo wa makombora wa Iran umeiduwaza dunia

    Nov 12, 2018 01:02

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) Ali Akbar Salehi amesema mafanikio ya Iran katika uzalishaji wa makombora umeishangaza dunia.

  • Vita vya kiuchumi vya Marekani na Iran inayoendelea kusonga mbele kiustawi

    Vita vya kiuchumi vya Marekani na Iran inayoendelea kusonga mbele kiustawi

    Nov 11, 2018 05:46

    Rais Donald Trump wa Marekani anaamini kuwa, awamu ya pili ya vikwazo dhidi ya Iran ni aina kali zaidi ya vikwazo itakavyo vihimili Iran. Awamu hiyo ya pili ya vikwazo vya serikali ya Washington ilianza kutekelezwa tarehe 5 Novemba; vikwazo ambavyo vinawaathiri moja kwa moja raia wa kawaida wa Iran.

  • Mhadhiri wa Chuo Kikuu India: Marekani imeshindwa kikamilifu kuitenga Iran kimataifa

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu India: Marekani imeshindwa kikamilifu kuitenga Iran kimataifa

    Nov 11, 2018 01:07

    Mkuu wa Kitengo cha Utafiti wa Bara Ulaya cha Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru cha New Delhi, India amesema kuwa, hatua ya Marekani ya kuziruhusu nchi kadhaa kuendelea kununua mafuta ya Iran ni ushahidi wa kushindwa kikamilifu njama za Marekani za kuitenga Iran kimataifa.

  •  Zarif: Iran itanawiri na haitatoa muhanga mamlaka yake ya kujitawala

    Zarif: Iran itanawiri na haitatoa muhanga mamlaka yake ya kujitawala

    Nov 11, 2018 01:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ametupilia mbali vitisho vya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuwa taifa la Iran litakumbwa na njaa.

  • Korea Kusini yasisitiza kupanua ushirikiano wake na Iran licha ya vikwazo vya Marekani

    Korea Kusini yasisitiza kupanua ushirikiano wake na Iran licha ya vikwazo vya Marekani

    Nov 10, 2018 04:28

    Balozi wa Korea Kusini nchini Iran ameelezea azma ya nchi yake ya kulinda na kupanua ushirikiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran licha ya kuwepo vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi hii.

  • Kufurahishwa Pompeo na vikwazo vipya na kusahau kwamba Iran ni taifa linalojitawala na kujitegemea

    Kufurahishwa Pompeo na vikwazo vipya na kusahau kwamba Iran ni taifa linalojitawala na kujitegemea

    Nov 09, 2018 04:14

    Siku tatu baada ya kuanza kutekelezwa awamu ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mike Pompeo amedai kwamba, lengo la vikwazo hivyo si kufanya mazungumzo na Iran ila ni kuifanya ibadilishe mwenendo wake katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Louis Farrakhan, kiongozi wa harakati ya Nation of Islam ya Marekani amuonya Trump

    Louis Farrakhan, kiongozi wa harakati ya Nation of Islam ya Marekani amuonya Trump

    Nov 08, 2018 11:12

    Louis Farrakhan, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Nation of Islam ya nchini Marekani amemtahadharisha vikali rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba asithubutu kuanzisha vita katika eneo la Mashariki ya Kati kwa kushinikizwa na utawala haramu wa Israel, akisisitiza kuwa matokeo ya vita hivyo yatakuwa mabaya mno.

  • Baada ya kususiwa na China, sasa Marekani yalazimika kuipigia magoti Iran

    Baada ya kususiwa na China, sasa Marekani yalazimika kuipigia magoti Iran

    Nov 07, 2018 13:01

    Shirika la habari la FARS limeripoti kuwa, baada ya kupamba moto vita vya biashara baina ya China na Marekani, na hivyo China kuamua kuiadhibu Marekani kwa kususia kununua bidhaa zake za maharage ya soya, wazalishaji wa bidhaa hiyo nchini Marekani wamelazimika kukimbilia Iran ili waweze kubakia katika soko la dunia la bidhaa hiyo.

  • Ujumbe wa Zarif; vikwazo na kufedheheka Marekani

    Ujumbe wa Zarif; vikwazo na kufedheheka Marekani

    Nov 07, 2018 04:46

    Akizungumza jana ikiwa ni siku moja baada ya kuanza kutekelezwa duru ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amewahutubu viongozi wa Washington kwa kusema, serikali ya Marekani ambayo imeshindwa hata kuwathibitishia wananchi wake kwamba, sera zake ni kwa munufaa ya wananchi inasubiriwa na hatima mbaya katika siku za usoni.

  • Waziri wa mafuta wa Iran: Watumiaji mafuta duniani wajiandae na siku nzito

    Waziri wa mafuta wa Iran: Watumiaji mafuta duniani wajiandae na siku nzito

    Nov 07, 2018 04:34

    Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Bijan Namdar Zangeneh amesema kuwa kiwango kilichoruhusiwa na Marekani kwa ajili ya wanunuzi wa mafuta ya Iran, hakilingani na mahitajio na hivyo inatazamiwa kwamba katika miezi ijayo watumiaji wa nishaji hiyo muhimu watakabiliwa na kipindi kigumu mno.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS