Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Dakta Ali Larijani: Iran ina uwezo wa kukabiliana na vikwazo

    Dakta Ali Larijani: Iran ina uwezo wa kukabiliana na vikwazo

    Nov 07, 2018 00:34

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo vya kidhulma vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vinakinzana pia na sheria na kanuni za kimataifa na kusisitiza kuwa, taifa hili lina uwezo wa kukabiliana na vikwazo hivyo.

  • Video: Waislamu wa Kisuni Iran waungana na ndugu zao wa Kishia kufanya ziara katika Haram ya Imam Ridha

    Video: Waislamu wa Kisuni Iran waungana na ndugu zao wa Kishia kufanya ziara katika Haram ya Imam Ridha

    Nov 06, 2018 08:11

    Wanavuoni, vijana na Waislamu wa matabaka mbalimbali wa Iran wameungana na ndugu zao wa Kishia kufanya ziara katika Haram ya Imam Ridha AS, mmoja wa wajukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW ambaye pia ni Imam wa Nane wa Waislamu wa Kishia.

  • "Orodha ya vikwazo vipya dhidi ya Iran vinaonesha kukanganyikiwa Marekani"

    Nov 06, 2018 04:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema miongoni mwa majina yaliyoko kwenye orodha ya vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Tehran ni benki iliyofungwa miaka sita iliyopita na meli ya mafuta ya Iran iliyozama katika bahari ya China karibu mwaka mmoja uliopita.

  • Jeshi la Iran na IRGC zazindua mfumo mpya wa makombora katika maneva ya ulinzi wa anga

    Jeshi la Iran na IRGC zazindua mfumo mpya wa makombora katika maneva ya ulinzi wa anga

    Nov 06, 2018 04:31

    Jeshi la Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC zimeanza luteka ya kijeshi ya ulinzi wa anga iliyopewa jina la "Velayat 97".

  • Ujerumani: Uhusiano wa kibiashara na Iran unapaswa kuendelea kuwepo

    Ujerumani: Uhusiano wa kibiashara na Iran unapaswa kuendelea kuwepo

    Nov 06, 2018 01:19

    Msemaji wa serikali ya Ujerumani amesema kuwa, uhusiano wa kibiashara kati ya nchi hiyo ya bara Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unapaswa kuendelea kuwepo.

  • Iran yazima hujuma ya Israel katika mitandao ya mawasiliano

    Iran yazima hujuma ya Israel katika mitandao ya mawasiliano

    Nov 06, 2018 01:18

    Iran imefanikiwa kuzima wimbi la mashambulizi kupitia intaneti (cyber-attack) ambayo yalikuwa yametekelezwa na utawala haramu wa Israel kwa lengo la kuvuruga mitandao ya mawasiliano nchini.

  • Rais Rouhani: Tutavishinda vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kwa umoja na msaada wa wananchi

    Rais Rouhani: Tutavishinda vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kwa umoja na msaada wa wananchi

    Nov 05, 2018 10:19

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, taifa hili litafanikiwa kuvishinda vikwazo vya Marekani dhidi yake.

  • Pompeo akiri kutengwa Washington katika kutekeleza vikwazo dhidi ya Iran

    Pompeo akiri kutengwa Washington katika kutekeleza vikwazo dhidi ya Iran

    Nov 05, 2018 03:53

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amekiri kuwa Washington imetangwa katika kutekeleza vikwazo dhidi ya Iran.

  • Rais Rouhani apongeza kushiriki wananchi katika hamasa ya tarehe 13 Aban

    Rais Rouhani apongeza kushiriki wananchi katika hamasa ya tarehe 13 Aban

    Nov 05, 2018 03:47

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kufanyika Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari kunadhihisha namna wananchi walivyofungamana na walivyo na shauku na Mapinduzi ya Kiislamu na malengo yake.

  • Washington Post: Marekani inaogopa nguvu za kijeshi za Iran

    Washington Post: Marekani inaogopa nguvu za kijeshi za Iran

    Nov 04, 2018 12:18

    Gazeti la Washington Post limeashiria jinsi Marekani ilivyorudi nyuma kutoka eneo la Ghuba ya Uajemi katika miezi kadhaa iliyopita na kuripoti kuwa viongozi wa nchi hiyo wana wasiwasi kutokana na uwezo wa kijeshi wa Iran unaozidi kuongezeka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS