Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yaitaka dunia iheshimu uamuzi wa ICJ dhidi ya Marekani

    Iran yaitaka dunia iheshimu uamuzi wa ICJ dhidi ya Marekani

    Oct 26, 2018 10:31

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amezitaka nchi zote huru duniani kufungamana na uamuzi wa hivi karibuni wa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ), kwa kutouinga mkono Marekani kuiwekea vikwazo Tehran.

  • Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq

    Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq

    Oct 26, 2018 10:08

    Maandamano ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husain AS na wajibu wa kuimarishwa kadiri inavyowezekana uhusiano wa Tehran na Baghdad ndiyo ajenda kuu ya mazungumzo ya simu yaliyofanywa baina ya mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Iraq.

  • Vijana wanamapinduzi wa Iran wataka kuimarishwa Umoja wa Kiislamu

    Vijana wanamapinduzi wa Iran wataka kuimarishwa Umoja wa Kiislamu

    Oct 26, 2018 01:19

    Vijana wanamapinduzi wa Iran wametoa wito wa kuimarishwa Umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu na kukabiliana na njama za Marekani na Israel.

  • Marekani yashindwa kuiwekea vikwazo kamili vya kibenki Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Marekani yashindwa kuiwekea vikwazo kamili vya kibenki Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Oct 25, 2018 04:35

    Viongozi wa Marekani wamesema kuwa, serikali ya Rais Donald Trump hatimaye itairuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuweza kuendeleza mawasiliano yake ya kibenki kupitia mfumo wa SWIFT na kustafidi na huduma za utumaji fedha kimataifa.

  • Balozi wa Iran Russia: Nchi nyingi zinajitenga na utegemezi wa kiuchumi wa Marekani

    Balozi wa Iran Russia: Nchi nyingi zinajitenga na utegemezi wa kiuchumi wa Marekani

    Oct 23, 2018 23:22

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia amesema kuwa, nchi nyingi za dunia kwa kutegemea uchumi wao wa kitaifa, zinafanya juhudi za kuacha kutegemea uchumi wa Marekani.

  • Zarif: Iran inao uwezo wa kuuza mafuta na kulinda uchumi wake

    Zarif: Iran inao uwezo wa kuuza mafuta na kulinda uchumi wake

    Oct 23, 2018 03:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inao uwezo wa kuuza mafuta yake na pia kulinda vyema uchumi wake.

  • Washington yalazimika kuzingatia msamaha kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran

    Washington yalazimika kuzingatia msamaha kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran

    Oct 22, 2018 04:45

    Waziri wa Fedha wa Marekani amelegeza msimamo wa nchi hiyo katika kuyawekea kikamilifu vikwazo mafuta ya Iran na kutangaza kuwa Washington inafikiria suala la msamaha kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran.

  • Ulimwengu wa Spoti, Okt 22

    Ulimwengu wa Spoti, Okt 22

    Oct 22, 2018 03:38

    Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu tuangazie baadhi ya matukio ya michezo yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa……

  • Syria yasisitiza kuwa itaendelea kuimarisha uhusiano wake wa kiuchumi na Iran

    Syria yasisitiza kuwa itaendelea kuimarisha uhusiano wake wa kiuchumi na Iran

    Oct 20, 2018 12:20

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Syria amesema kuwa, kuna haja ya kuondolewa vizuizi vyote hata vidogo vidogo katika juhudi za kuimarisha uhusiano wa pande zote wa kiuchumi baina ya nchi mbili ndugu za Iran na Syria.

  • Nchi za Ulaya na Asia zataka kuondolewa vikwazo Iran

    Nchi za Ulaya na Asia zataka kuondolewa vikwazo Iran

    Oct 20, 2018 04:34

    Nchi za Ulaya na Asia sanjari na kutangaza utayarifu wao wa kuendelea kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya Iran, zimesema kuondolewa vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ni sehemu muhimu ya mapatano hayo ya kimataifa yanayofahamika kama JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS