-
UN: Kulindwa JCPOA kuna umuhimu kwa usalama wa dunia
Jun 20, 2018 02:59Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kulindwa makubaliano ya nyuklia ya Iran ni jambo lenye udharura mkubwa hususan katika kudhamini usalama wa dunia.
-
Jumatano, tarehe 20 Juni, 2018
Jun 19, 2018 22:04Leo ni Jumatano tarehe 6 Shawwal 1439 Hijria sawa na 20 Juni 2018
-
Ulimwengu wa Michezo, Juni 18
Jun 18, 2018 02:42Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita, haswa matokeo ya michuano ya Kombe la Dunia Russia.....
-
Iran na Senegal kuimarisha ushirikiano wao katika uga wa sayansi
Jun 17, 2018 10:10Jamhuri ya Kiislamu na Iran na Senegal zimeazimia kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga mbalimbali na hususan ushirikiano wao katika uga wa sayansi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 38 + Sauti
Jun 16, 2018 11:21Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 38 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Shirika la Renault: Tutabakia nchini Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Jun 15, 2018 23:33Mkurugenzi Mkuu wa shirika la kutengeneza magari la Renault la Ufaransa amesema kuwa shirika hilo litaendelea kufanya shughulia zake nchini Iran licha ya kurejeshwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Tamko la kinagaubaga la Assad; uhusiano wa Iran na Syria haurubuniki
Jun 15, 2018 22:28Rais wa Syria amesema kuhusu pendekezo la Saudi Arabia la kuirubuni nchi hiyo ivunje uhusiano wake na Iran na kuwa tayari kuipatia hongo serikali ya Damascus kwamba: "Si Syria wala si Iran ambayo inatangaza mnada kuhusu uhusiano huu katika soko la kisiasa la kimataifa hata pahitajike mahali pa kufanyia muamala huo."
-
Jumamosi, Juni 16, 2018
Jun 15, 2018 21:48Leo ni Jumamosi, tarehe Pili Shawwal mwaka 1439 Hijria Qamaria, inayosadifiana na tarehe 16, Juni mwaka 2018 Miladia.
-
Iran yaibuka mshindi katika mechi ya Kombe la Dunia na Morocco
Jun 15, 2018 12:44Timu ya Taifa ya Soka ya Iran imeibuka mshindi wa bao moja kwa nunge katika mechi yake ya kwanza ya Kombe la Dunia na Morocco nchini Russia mjini St. Petersburg.
-
Kiongozi Muadhamu: Hakuna shaka kwamba utawala wa Kizayuni utasambaratishwa kwa hima ya Waislamu
Jun 15, 2018 03:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni utasambaratishwa bila shaka kutokana na hima za Waislamu. Amesisitiza kuwa, utawala huo uliosimama kwa msingi batili utasambaratishwa na Waislamu.