Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yaibuka mshindi katika mechi ya Kombe la Dunia na Morocco

    Iran yaibuka mshindi katika mechi ya Kombe la Dunia na Morocco

    Jun 15, 2018 12:44

    Timu ya Taifa ya Soka ya Iran imeibuka mshindi wa bao moja kwa nunge katika mechi yake ya kwanza ya Kombe la Dunia na Morocco nchini Russia mjini St. Petersburg.

  • Kiongozi Muadhamu: Hakuna shaka kwamba utawala wa Kizayuni utasambaratishwa kwa hima ya Waislamu

    Kiongozi Muadhamu: Hakuna shaka kwamba utawala wa Kizayuni utasambaratishwa kwa hima ya Waislamu

    Jun 15, 2018 03:19

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni utasambaratishwa bila shaka kutokana na hima za Waislamu. Amesisitiza kuwa, utawala huo uliosimama kwa msingi batili utasambaratishwa na Waislamu.

  • Meja Jenerali Baqeri: Natumai amani na utulivu utatawala katika ulimwengu wa Kiislamu

    Meja Jenerali Baqeri: Natumai amani na utulivu utatawala katika ulimwengu wa Kiislamu

    Jun 14, 2018 03:34

    Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ana wingi wa matumaini kwamba karibuni hivi amani na utulivu utashuhudiwa katika ulimwengu wa Kiislamu.

  • Qatar yamteua balozi mpya maalumu kuhudumu Iran

    Qatar yamteua balozi mpya maalumu kuhudumu Iran

    Jun 14, 2018 03:18

    Sheikh Tamim bin Hamad, Amiri wa Qatar, amemteua Mohammed bin Hamad Al Hajri kuwa balozi mpya maalumu wa nchi hiyo katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Tahadhari kuhusu njama zinazofanyika dhidi ya Uislamu na Iran

    Tahadhari kuhusu njama zinazofanyika dhidi ya Uislamu na Iran

    Jun 13, 2018 21:55

    Mwanafikra na kiongozi wa ngazi za juu wa kidini nchini Algeria ametahadharisha kuhusu njama zinazofanywa dhidi ya Uislamu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Rouhani: Iran itajiondoa JCPOA iwapo haitadhaminiwa maslahi yake

    Rouhani: Iran itajiondoa JCPOA iwapo haitadhaminiwa maslahi yake

    Jun 13, 2018 02:45

    Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA iwapo itahisi haistafidi wala kupata maslahi yoyote kutokana na mapatano hayo ya kimataifa.

  • Korea Kaskazini yakerwa na matamshi machafu ya Netanyahu dhidi ya Iran

    Korea Kaskazini yakerwa na matamshi machafu ya Netanyahu dhidi ya Iran

    Jun 11, 2018 23:47

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini ametoa radiamali kuhusiana na pendekezo la kejeli la Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Kizayuni kuhusu kuipa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran teknolojia ya kukabiliana na uhaba wa maji na kusema kuwa, Benjamin Netanyahu ni mtenda jinai na muongo mkubwa.

  • Kiongozi wa HAMAS: Iran ni nchi muhimu na mhimili wa msingi katika eneo

    Kiongozi wa HAMAS: Iran ni nchi muhimu na mhimili wa msingi katika eneo

    Jun 11, 2018 10:30

    Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameuenzi na kuusifu mchango wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuihami na kuiunga mkono Palestina na kusisitiza kwamba: Hamas haiungi mkono mhimili wowote wa Kiarabu au wa kieneo dhidi ya mhimili mwengine.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu undumakuwili wa nchi za Magharibi

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu undumakuwili wa nchi za Magharibi

    Jun 11, 2018 06:07

    Ayatullahil Udhma Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumapili katika mkutano wake na mamia ya wahadhiri wa vyuo vikuu na wasomi kutoka taasisi mbali mbali za utafiti nchini alibainisha nafasi ya juu ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa kimataifa.

  • Tahadhari kali ya Putin kuhusu athari mbaya za kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Tahadhari kali ya Putin kuhusu athari mbaya za kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Jun 11, 2018 02:27

    Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa vikali uamuzi wa Marekani wa kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA akisema unatishia usalama na amani ya Mashariki ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS