-
Larijani: Israel inatumia ugaidi kudhoofisha ulimwengu wa Kiislamu
Nov 06, 2016 14:28Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu, Bunge la Iran, amesema kuwa, kueneza ugaidi ni katika mbinu na sera zinazotumiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel kuzidhoofisha nchi za Kiislamu.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Togo wakutana Tehran
Nov 06, 2016 12:03Mawaziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Togo wamekutana leo mjini Tehran.
-
Marekani yaendeleza siasa za uhasama dhidi ya Iran
Nov 05, 2016 23:16Tangu mwaka 1979 wakati zilipofichuliwa nyaraka za harakati za siri za ujasusi wa Marekani nchini Iran katika uliokuwa ubalozi wa nchi hiyo mjini Tehran, rais wa nchi hiyo alitangaza hali ya hatari dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran: Wananchi wamevunja njama zote za maadui
Nov 05, 2016 23:13Waziri wa Usalama wa Taifa wa Iran amesema kuwa, kushiriki vilivyo wananchi katika nyuga tofauti kumefanikiwa kuvunja njama zote za maadui.
-
"Jinai za Marekani ziwekwe paruwanja kimataifa"
Nov 04, 2016 12:21Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameitaja Marekani kama adui nambari moja wa Ulimwengu wa Kiislamu na kueleza udharura wa kuanikwa hadharani jinai za Washington kimataifa.
-
Sarkozy: Iran ina nafasi kuu katika kupatikana amani Mashariki ya Kati
Nov 04, 2016 04:03Nicolaus Sarkozy rais wa zamani wa Ufaransa amesisitiza umuhimu wa nafasi ya Iran katika kupatikana amani katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Ijumaa, 04 Novemba, 2016
Nov 03, 2016 22:59Leo ni Ijumaa tarehe 4 Safar 1438 sawa na Novemba 4, 2016.
-
Maandamano ya Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari yafanyika kote nchini
Nov 03, 2016 13:06Maandamano ya tarehe 13 Aban (tarehe 3 Novemba) ya kuadhimisha Siku ya Wanafunzi, Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari na Siku ya Kutekwa Pango la Ujasusi la Marekani yamefanyika leo na kuhudhuriwa kwa wingi nchini kote.
-
Rouhani: Uingiliaji wa kigeni umeleta mgawanyiko Mashariki ya Kati
Nov 02, 2016 01:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema matatizo yanayolikabili eneo hili la Mashariki ya Kati yamesababishwa na uingiliaji unaofanywa na nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya nchi za eneo hilo.
-
Rais Rouhani asisitiza kuarifishwa uwezo wa Iran katika nchi zingine duniani
Oct 31, 2016 10:49Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa kuarifishwa uwezo wa Iran kwa ajili ya wawekezaji wa sekta binafsi kutoka nchi zingine duniani.