-
Jumatatu tarehe 31 Oktoba 2016
Oct 31, 2016 06:22Leo ni Jumatatu tarehe 29 Muharram 1438 Hijria sawa na 31 Oktoba 2016.
-
Ulimwengu wa Michezo, Okt 31
Oct 31, 2016 03:58Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti kutoka kila kila dunia ndani ya siku saba zilizopita.
-
Tehran: Njama za kuharibu usalama wa Iran zimefeli
Oct 30, 2016 12:12Kaimu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, njama zote za maadui za kuvuruga usalama wa Iran zimefeli.
-
Amano: Iran imeheshimu kikamilifu makubaliano ya nyuklia
Oct 30, 2016 11:44Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) ameeleza kuwa Iran imetekeleza ahadi zake zote katika makubaliano ya nyuklia kati yake na madola makuu duniani.
-
Mauzo ya mafuta ya Iran barani Asia yaongezeka kwa 92%
Oct 30, 2016 04:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema uuzaji wa mafuta yake katika nchi za bara Asia umeongezeka na kufikia asilimia 92, kiwango kinachokaribia cha kabla ya vikwazo.
-
Jumamosi, 29 Oktoba, 2016
Oct 29, 2016 02:44Leo ni Jumamosi tarehe 27 Mfunguo Nne Muharram 1438 Hijria mwafaka na tarehe 29 Oktoba mwaka 2016 Miladia.
-
Njama za maadui za kuzusha mifarakano baina ya Shia na Sunni nchini Iran zimeshindwa
Oct 27, 2016 06:37Mwakilishi wa Faqihi Mtawala nchini Iraq amesema njama za maadui wa Uislamu za kuzusha hitilafu na mifarakano kati ya Shia na Sunni nchini Iran zimeshindwa kutokana na umoja na mshikamano baina ya wafuasi wa madhehebu hizo.
-
Mazoezi ya kijeshi ya mara kwa mara ya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Oct 27, 2016 03:53Majeshi ya nchi Kiarabu wanachama wa Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi tarehe 25 Oktoba yalianza mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la "Amani ya Ghuba ya Uajemi-1".
-
Rouhani: EU yawania kurejesha uhusiano na Iran baada ya JCPOA
Oct 26, 2016 11:38Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Umoja wa Ulaya zipo mbioni kurejesha na kuimarisha uhusiano wao na Tehran, tokea yafikiwe mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
Marekani hailipi uzito suala la vita dhidi ya ugaidi
Oct 26, 2016 04:41Alauddin Burujerdi Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema Marekani hailipatii uzito suala la vita dhidi ya ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.