-
Kiongozi wa Masuni Russia aunga mkono juhudi za Iran za kukurubisha madhehebu za Kiislamu
Oct 20, 2016 04:19Mkuu wa Baraza la Mamufti la Russia amesema ushirikiano wa kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu uliopo baina ya baraza hilo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wenye thamani kubwa na kuongeza kuwa uhusiano huo umekuwa na mafanikio mengi.
-
Kazem Jalali: Sera za Iran zinalenga kuleta umoja katika Umma wa Kiislamu
Oct 19, 2016 00:33Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema sera za kieneo na kimataifa za Iran ziko wazi kabisa na zinalenga kuleta umoja katika Umma wa Kiislamu.
-
Salehi: Karibuni dawamiale zinazotengezwa nchini zitauzwa kwa wingi nje ya nchi
Oct 18, 2016 11:59Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema karibuni dawamiale (Radiopharmaceuticals) zinazotengezwa nchini zitaanza kusafirishwa na kuuzwa kwa wingi nje ya nchi.
-
Larijani: Marekani inachochea ugaidi kupitia vita
Oct 18, 2016 03:31Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema Marekani inachochea ugaidi katika eneo hili la Mashariki ya Kati na duniani kote kwa ujumla kwa kutumia anga ya vita na mapigano.
-
Meli za kivita za Iran zazima hujuma ya maharamia karibu na Somalia
Oct 17, 2016 23:41Meli za kivita za Iran zimefanikiwa kuzima hujuma kadhaa za maharamia waliolenga kuziteka meli mbili za kibiashara za Iran katika Ghuba ya Aden.
-
Uzalishaji mafuta nchini Iran warejea katika kiwango cha kabla ya vikwazo
Oct 17, 2016 23:39Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, baada ya kuanza utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia baina ya Iran na kundi la 5+1 ambayo ni maarufu kwa jina la makubaliano ya JCPOA, uzalishaji wa mafuta wa Iran umekaribia kiwango cha kabla ya vikwazo, yaani mapipa milioni nne na laki mbili kwa siku.
-
Iran inalenga kuimarisha zaidi uhusiano na nchi za Afrika
Oct 17, 2016 12:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika ni msingi muhimu wa sera za kigeni za Iran.
-
Iran yafanya mazoezi makubwa ya jeshi la anga
Oct 17, 2016 12:10Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeanzisha mazoezi makubwa yanayojumuisha ndege aina mbali mbali za kivita katika eneo la Anarak, Isfahan, kati mwa Iran.
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 17
Oct 17, 2016 03:47Hujambo mpenzi msikilizaji wa Radio Tehran na hususan shabiki wa spoti na karibu tuangazie matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita ndani na nje ya nchi.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi Iraq
Oct 16, 2016 11:13Watu zaidi ya 30 wameuawa na kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililoulenga mkusanyiko wa waombolezaji waliokuwa wakiandamana katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.