Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Rais Pezeshkian: Iran itatoa jibu linalostahiki kwa uchokozi wa Israel dhidi yake

    Rais Pezeshkian: Iran itatoa jibu linalostahiki kwa uchokozi wa Israel dhidi yake

    Oct 28, 2024 03:25

    Rais Masoud Pezeshkian amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipendi vita lakini iko imara katika kujihami na kulinda usalama wa wananchi wake na itatoa jibu linalostahiki kwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni dhidi yake.

  • Iran yaliandikia barua Baraza la Usalama kuhusu shambulio la kigaidi kusini mashariki mwa nchi

    Iran yaliandikia barua Baraza la Usalama kuhusu shambulio la kigaidi kusini mashariki mwa nchi

    Oct 27, 2024 23:28

    Balozi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameliandikia barua Baraza la Usalama la Umoja huo na kulitaka litoe azimio la kulaani shambulio la kigaidi la genge linalojiita "Jeysh al Adl" katika mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran.

  • Rais Pezeshkian: Wairani watajibu chokochoko za maadui dhidi ya nchi yao

    Rais Pezeshkian: Wairani watajibu chokochoko za maadui dhidi ya nchi yao

    Oct 26, 2024 23:40

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ametoa rambirambi zake kufuatia kuuawa shahidi maafisa usalama wa nchi hii katika mashambulizi ya kichokozi ya jana Jumamosi ya utawala wa Kizayuni na kundi la kigaidi linaloungwa mkono na maajinabi.

  • Tehran: Tuna haki halali ya kujihami mkabala wa uvamizi wa Wazayuni

    Tehran: Tuna haki halali ya kujihami mkabala wa uvamizi wa Wazayuni

    Oct 26, 2024 07:22

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali hatua ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni ya kushambulia baadhi ya vituo vya kijeshi hapa nchini, na kuitaja kuwa ni ukiukwaji wa wazi wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.

  • Iran yasema iko tayari kujibu uchokozi na uvamizi wa Israel

    Iran yasema iko tayari kujibu uchokozi na uvamizi wa Israel

    Oct 26, 2024 06:32

    Duru za kuaminiki zimeliambia shirika la habari la Tasnim kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ipo tayari na imejiandaa kujibu chokochoko za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Indonesia yaeleza hamu yake ya kuwa mwanachama wa Bunge la Qur'ani la Ulimwengu wa Kiislamu

    Indonesia yaeleza hamu yake ya kuwa mwanachama wa Bunge la Qur'ani la Ulimwengu wa Kiislamu

    Oct 25, 2024 23:33

    Mkurugenzi Mkuu wa Miongozo ya Jamii ya Kiislamu wa Wizara ya Dini ya Indonesia ametangaza kuwa nchi yake iko tayari kujiunga na Bunge la Qur'ani la Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Rais Pezeshkian: BRICS, mfano wa mafanikio wa ushirikiano na kuondokana na hatua za upande mmoja

    Rais Pezeshkian: BRICS, mfano wa mafanikio wa ushirikiano na kuondokana na hatua za upande mmoja

    Oct 24, 2024 23:11

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jumuiya ya BRICS ikiwa na malengo yake makubwa imeweza kuwa kielelezo cha mafanikio cha ushirikiano kati ya nchi katika uga wa kimataifa.

  • Iran yalaani vikali shambulio la kigaidi kwenye makao ya Shirika la Anga la Uturuki

    Iran yalaani vikali shambulio la kigaidi kwenye makao ya Shirika la Anga la Uturuki

    Oct 24, 2024 03:58

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi kwenye makao makuu ya Shirika la Anga la Uturuki (TOSASH) mjini Ankara.

  • Iran na Misri zataka Israel ilazimishwe kukomesha jinai zake Gaza, Lebanon

    Iran na Misri zataka Israel ilazimishwe kukomesha jinai zake Gaza, Lebanon

    Oct 24, 2024 02:48

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian na mwenzake wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi wamesisitiza kuwa uchokozi wa Israel katika Ukanda wa Gaza na Lebanon ni lazima usitishwe, na kutoa wito wa kuwepo juhudi za kuzuia kuenea kwa mzozo katika maeneo mengine ya eneo la Asia Magharibi.

  • Pezeshkian: Uhusiano wa Iran na Russia ni wa kimkakati, wenye manufaa makubwa

    Pezeshkian: Uhusiano wa Iran na Russia ni wa kimkakati, wenye manufaa makubwa

    Oct 23, 2024 23:13

    Rais Masoud Pezeshkian amesema uhusiano wa Iran na Russia ni "wa kimkakati na wenye manufaa makubwa."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS