-
Msumbiji yawaachia huru mabaharia kumi wa Kiirani
Aug 29, 2024 02:51Mabaharia 10 wa Iran waliokuwa wanashikiliwa nchini Msumbiji wameachiliwa huru.
-
Iran yatoa mkono wa pole kufuatia vifo vya wananchi wa Sudan katika mafuriko + Video
Aug 28, 2024 06:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa salamu za rambirambi kwa familia za wahanga wa mafuriko nchini Sudan.
-
Pezeshkian: Maingiliano makubwa ya kiutamaduni baina ya Iran na Tanzania ni fursa ya kipekee
Aug 01, 2024 06:43Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa maingiliano makubwa ya kiutamaduni baina ya Iran na baadhi ya maeneo ya Tanzania hasa Zanzibar, ni fursa nzuri ya kustawishwa zaidi na zaidi uhusiano wa nchi hizo mbili.
-
Iran na Sudan zarejesha uhusiano; balozi wa Iran Khartoum akabidhi hati za utambulisho
Jul 22, 2024 03:14Kiongozi wa Baraza la Utawala wa Mpito na Mkuu wa Majeshi ya Sudan, Abdul Fattah Al-Burhan, amepokea hati za utambulisho za balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Sudan, Hassan Shah Hosseini.
-
Tunisia yawaondolea visa watalii kutoka Iran
Jun 16, 2024 02:36Serikali ya Tunisia imeruhusu kuingia bila ya visa watalii wa Iran kuanzia jana Jumamosi.
-
Kaimu Rais wa Iran: Tunafungamana na mkakati wetu wa kuimarisha ushirikiano na nchi za Kiislamu
May 27, 2024 12:48Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linafungamana kikamilifu na stratejia na mkakati wake wa kuimarisha ushirikiano wake na mataifa ya Kiislamu.
-
Rais Samia aungana na viongozi wa mataifa mengine kumuomboleza Ebrahim Raisi
May 25, 2024 03:41Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameungana na viongozi wa mataifa mengine duniani kumuomboleza Ebrahim Raisi wa Iran.
-
Waislamu wa Tanzania wamuomboleza Sayyid Ebrahim Raisi
May 22, 2024 07:09Waislamu nchini Tanzania wameshiriki katika hafla ya kuwakumbuka na kuwaenzi viongozii wa Iran walioaga dunia hivi karibuni akiwemo Rais Ebrahim Raisi.
-
Uganda: Tunahitaji teknolojia ya Iran kudhibiti maudhui chafu, potofu mitandaoni
May 10, 2024 07:25Serikali ya Uganda inatafakari kuanza kutumia teknolojia iliyopiga hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kudhibiti maudhui chafu na za upotoshaji kwenye mitandao ya kijamii.
-
Iran: Lugha ya Kifarsi kufundishwa katika Vyuo Vikuu vya Zimbabwe
May 10, 2024 07:23Waziri wa Sayansi, Utafiti na Teknolojia wa Iran ametangaza utayarifu wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuanza kufunza lugha ya Kifarsi katika Vyuo Vikuu vya Zimbabwe.