-
Mamilioni wakumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Ali (as) kote duniani
Jun 27, 2016 11:42Mamilioni ya Waislamu husuan wapenzi na wafuasi wa Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad (saw) kote duniani kuanzia jana usiku hadi leo wameshiriki katika majlisi, vikao na mijumuiko ya kukumbuka tukio chungu la kufa shahidi Amiri wa Waumini, Imam Ali bin Abi Twalib (as).
-
Brigedia Jenerali Jazayeri: Saudia haina haki ya kuingilia mambo ya Iraq
Jun 27, 2016 11:30Afisa mwandamizi wa jeshi la Iran amesema Saudi Arabia na watawala wake hawana haki ya kuingilia mambo ya ndani ya Iraq na kwamba wanapaswa kuheshimu matakwa ya Wairaqi.
-
Wairaqi waandamana kumuunga mkono Sheikh Qassim wa Bahrain
Jun 25, 2016 02:08Wananchi wa Iraq wamefanya maandamano ya kuonyesha uungaji mkono wao kwa mwanachuoni mkubwa wa Kiislamu Ayatullah Sheikh Isa Qassim ambaye hivi karibuni alivuliwa uraia na utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain.
-
UN: Daesh inatumia mbinu ya ukatili wa ngono Iraq
Jun 20, 2016 09:29Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Kukabiliana na Ukatili wa Kijinsia amesema kuwa kundi la kigaidi la Daesh linatumia ukatili wa kingono kama mbinu ya kigaidi nchini Iraq.
-
30,000 wafurushwa Fallujah Iraq katika muda wa siku 3 zilizopita
Jun 20, 2016 00:54Baraza la Wakimbizi la Norway limesema kwa akali watu 30,000 wamelazimika kuyahama makazi yao katika mji wa Fallujah nchini Iraq katika muda wa siku 3 zilizopita kutokana na kushtadi mapigano katika mji huo wa kistratajia kati ya vikosi vya jeshi na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Iran yaipongeza Iraq kufuatia kukombolewa Fallujah
Jun 18, 2016 08:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ameipongeza serikali na watu wa Iraq kufuatia kukombolewa mji wa kati wa Fallujah kutoka kwa magaidi wa kundi la wakufurishaji wa ISIS au Daesh.
-
Operesheni ya kuwatia mbaroni magaidi Fallujah, Iraq
Jun 18, 2016 06:26Mkanda huu wa video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, unaonesha namna kikosi maalumu cha Iraq kinavyowatia mbaroni kwa mkupuo magaidi kadhaa wa Daesh mjini Fallujah wakiwa wamejificha kwenye kibanda kimoja cha udongo...
-
Al-Abadi: Daesh haina nafasi katika ardhi ya Iraq
Jun 18, 2016 02:38Haider al-Abadi, Waziri Mkuu wa Iraq amepongeza hatua ya kukombolewa kikamilifu mji wa kistratejia wa Fallujah toka mikononi mwa Daesh (ISIS) na kusema kuwa kundi hilo la kigaidi na kitakfiri halina nafasi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Sheikh Kubais: Netanyahu ndio anayewasimamia Daesh
Jun 12, 2016 22:14Mmoja wa Mamufti watajika wa Kisuni mwa Iraq amesema kuwa kundi la kigaidi la Daesh linadhibitiwa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iraq yaitaka Saudia itoe maelezo kwa kulisaidia kifedha kundi la kigaidi la Daesh
Jun 12, 2016 03:04Serikali ya Iraq imelalamikia misaada ya kifedha inayokusanywa na baadhi ya makundi nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kulisaidia kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).