-
Watu tisa wapoteza maisha kufuatia mlipuko wa kipindupindu DRC
Dec 18, 2021 09:27Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu umepelekea watu wasiopungua tisa kupoteza maisha katika jimbo la Haut-Lomami, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Tshisekedi aifuta kazi bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa ya Madini kufuatia ufisadi mkubwa
Dec 04, 2021 23:45Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aifuta kazi bodi nzima ya wakurugenzi wa Kampuni ya Taifa ya Madini ya Gecamine akiwemo Mwenyekiti Albert Yuma, Mkurugenzi Mkuu na Naibu wake.
-
Makumi wauawa katika mashambulizi ya waasi wa CODECO, DRC
Nov 23, 2021 04:07Makumi ya watu wameuawa katika mashambulizi mapya ya kutisha ya wanamgambo wa CODECO huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Maelfu waandamana katika mji mkuu wa DRC kupinga uteuzi wa Tume ya Uchaguzi
Nov 14, 2021 12:18Maelfu ya wananchi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameandamana katika mitaa ya Kinshasa mji mkuu wa nchi hiyo wakitaka kuwepo Tume HUru ya Uchaguzi isiyoegemea upande wowote na isiyo ya kisiasa baada ya Rais wa nchi hiyo, Felix Tshisekedi kumteuwa rafiki yake wa karibu kuwa Mkuu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.
-
Jeshi la Kongo: Tumekomboa maeneo yote kutoka mikononi mwa M23
Nov 10, 2021 04:15Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza kuwa limekomboa maeneo yote ambayo Jumapili wiki iliyopita yalishambuliwa na waasi wa zamani wa kundi la Machi 23 mashariki mwa nchi hiyo.
-
Licha ya upinzani wa makanisa, Rais wa DRC amwidhinisha Kadima kuwa mwenyekiti wa CENI
Oct 23, 2021 04:19Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, amemuidhinisha Denis Kadima kuwa mwenyekiti mpya wa Tume ya Uchaguzi CENI, licha ya upinzani wa Kanisa Katoliki na lile la Kiprotestanti ikiwa ni pamoja na vyama vya upinzani ukiwemo muungano wa Lamuka unaoongozwa na Martin Fayulu, na FCC inayoungwa mkono na rais wa zamani wa nchi hiyo Jospeh Kabila.
-
Mashambulio ya waasi yalazimisha watu 100,000 kukimbia makazi yao DRC
Oct 15, 2021 23:02Mashambulio ya mara kwa mara ya magenge ya waasi yamewalazimisha watu zaidi ya 100,000 kukimbia makazi yao katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Watu 13 wauawa katika mashambulio ya wanamgambo wa ADF huko DRC
Oct 12, 2021 04:38Watu wasiopungua 13 wameuawa katika eneo la Oicha mkoa wa Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kufuatia mashambulio ya waasi wa Uganda wa ADF.
-
Watu wasiopungua 30 wauawa katika shambulio kaskazini mashariki mwa Kongo
Sep 06, 2021 20:52Duru za habari za kieneo na Umoja wa Mataifa jana Jumatatu ziliarifu kuwa, watu wasiopungua 30 waliuliwa katika shambulio la siku ya Jumaosi kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Maelfu ya watu wakumbwa na tatizo la kuhara baada ya maji ya mto kuchafuka, Kongo
Aug 31, 2021 22:22Maafisa wa afya katikka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameripoti kuwa, maelfu ya watu wamepatwa na tatizo la kuhara katika jimbo la Kasai katikati mwa nchi hiyo baada ya raia kutumia maji machafu na samaki waliokufa kutoka katika ziwa ambalo maji yake yamechafuka.