-
Wanamgambo wanne wauawa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Oct 03, 2018 04:48Wanamgambo wanne wameuawa waliposhambulia kambi ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Maelfu ya Wakongomani wakusanyika katika mji mkuu Kinshasa kuitikia wito wa viongozi wa upinzani
Sep 30, 2018 04:12Maelfu ya watu walikusanyika katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa hapo jana kuitikia wito wa wanasiasa na wagombea urais wa vyama vya upinzani.
-
Watu 16 wauawa katika shambulio la waasi mashariki mwa DRC
Sep 23, 2018 12:30Watu 16 wameuawa katika shambulio jipya la waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Katumbi: Matokeo ya uchaguzi wa Kongo DR kuyumbisha uthabiti Afrika
Sep 23, 2018 04:28Moise Katumbi, mwanasiasa wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye kwa sasa yuko uhamishoni nchini Ubelgiji ametadharisha kuwa, matokeo ya uchaguzi wa rais utakaofanyika nchini humo mwishoni mwa mwaka huenda yakavuruga amani na uthabiti sio tu katika nchi hiyo bali kote barani Afrika.
-
Utekaji nyara wa kutumia silaha waongezeka Kinshasa DRC
Sep 17, 2018 23:27Familia za wahanga wa vitendo vya utekaji nyara wa kutumia silaha katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa wameelekeza kidole cha lawama kwa mashirika ya usalama ya nchi hiyo.
-
UNICEF yaimarisha mikakati ya kukabiliana na Ebola DRC
Sep 15, 2018 09:22Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetangaza azma mpya ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC ili kuwasaidia maelfu ya watu, wakiwemo watoto, kufuatia kuibuka upya kwa ugonjwa huo.
-
Wahanga wa Ebola waongezeka DRC
Sep 13, 2018 22:50Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo jana ilitoa taarifa mpya na kusema kuwa, wahanga wa ugonjwa hatari wa Ebola wameongezeka tangu mwanzoni mwa mwezi Agosti hadi hivi sasa kiasi kwamba kati ya kesi 133 zilizosajiliwa, 102 zimethibitika kuwa ni za homa ya Ebola.
-
Serikali yadhibiti mlipuko mpya wa Ebola Kongo DR
Sep 09, 2018 02:46Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza habari ya kufanikiwa kudhibiti mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola nchini humo, wiki tano baada ya kuripotiwa mlipuko wa virusi hivyo hatari.
-
Wafanyakazi wa Idara ya Forodha Kongo DR waachiliwa huru kwa kikombolewa cha Dola 3000
Sep 07, 2018 00:26Idara ya Forodha ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imetangaza kwamba, wafanyakazi wawili wa Idara Kuu ya Forodha na Ushuru ya Mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa nchi wameachiliwa huru mkabala wa kikomboleo cha Dola 3000.
-
WFP yatoa msaada wa dharura wa chakula kwa waathirika wa Ebola DRC
Aug 31, 2018 02:04Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP limeanza kutekeleza mpango wa dharura wa kugawa chakula kwa waathirika wa ugonjwa wa Ebola huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.