Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Maafisa wawili wa UN waliotekwa nyara Kongo DR, wameuawa

    Maafisa wawili wa UN waliotekwa nyara Kongo DR, wameuawa

    Mar 29, 2017 09:41

    Imebainika kuwa, maafisa wawili wa Umoja wa Mataifa raia wa Marekani na Sweden waliotekwa nyara katika mkoa wa Kasai katikati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wiki mbili zilizopita wameuawa.

  • Amnesty yataka kikosi cha MONUSCO Kongo DR kiongezewe majukumu

    Amnesty yataka kikosi cha MONUSCO Kongo DR kiongezewe majukumu

    Mar 28, 2017 22:26

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukiongezea majukumu Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (MONUSCO).

  • Polisi 40 wauawa kwa kukatwa vichwa Congo DR

    Polisi 40 wauawa kwa kukatwa vichwa Congo DR

    Mar 25, 2017 12:05

    Ripoti kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimesema kuwa wanamgambo wa eneo la katikati mwa nchi hiyo wamewakata vichwa maafisa karibu 40 wa jeshi la polisi ya nchi hiyo katika maeneo ya msituni.

  • Kwa mara ya kwanza, ICC kuwalipa fidia wahanga wa jinai za kivita Kongo

    Kwa mara ya kwanza, ICC kuwalipa fidia wahanga wa jinai za kivita Kongo

    Mar 24, 2017 12:01

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ( ICC) leo Ijumaa imeamuru kuwa kila mmoja kati ya wahanga 297 wa Germain Katanga, mbabe wa zamani wa kivita wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo alipwe fidia ya dola 250 kutokana na mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa kijijini kwao mwaka 2003.

  • ICC yamuongeza Bemba mwaka mmoja jela kwa kuwahonga mashahidi

    ICC yamuongeza Bemba mwaka mmoja jela kwa kuwahonga mashahidi

    Mar 22, 2017 11:18

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imemhukumu mwaka mmoja jela, Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jean-Pierre Bemba, baada ya kupatikana na hatia ya kuwapa rushwa mashahidi katika kesi kuu ya awali dhidi yake.

  • Video zaidi za mauaji ya raia Congo DR zazusha kizaazaa

    Video zaidi za mauaji ya raia Congo DR zazusha kizaazaa

    Mar 22, 2017 00:12

    Kutolewa kwa mikanda zaidi ya video za mauaji yaliyofanywa na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo dhidi ya raia wa nchi hiyo kumeingiza kashfa hiyo katika awamu mpya.

  • Waasi wa kundi la FDLR kutoka Rwanda wajisalimisha kwa UN, Congo

    Waasi wa kundi la FDLR kutoka Rwanda wajisalimisha kwa UN, Congo

    Mar 19, 2017 23:32

    Idadi kadhaa ya waasi wa kundi la FDLR wa Rwanda walioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamejisalimisha kwa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa waliko mashariki mwa nchi hiyo.

  • Huenda usajili wa wapiga kura DRC ukaakhirishwa, kisa machafuko

    Huenda usajili wa wapiga kura DRC ukaakhirishwa, kisa machafuko

    Mar 15, 2017 03:34

    Kanisa Katoliki na Tume ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimetahadharisha kuwa, yumkini zoezi la kuwasajili wapiga kura likakosa kufanyika kutoka na kushtadi machafuko na mapigano nchini humo.

  • Maafisa wawili wa UN watekwa nyara Kongo DR

    Maafisa wawili wa UN watekwa nyara Kongo DR

    Mar 14, 2017 03:13

    Maafisa wawili wa Umoja wa Mataifa raia wa Marekani na Sweden wametekwa nyara katika mkoa wa Kasai katikati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Kongo yaiomba Guinea Conakry iisaidie kutatua mgogoro wa kisiasa

    Kongo yaiomba Guinea Conakry iisaidie kutatua mgogoro wa kisiasa

    Mar 13, 2017 10:51

    Ujumbe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeelekea Guinea Conakry ukitaka kushiriki Rais wa nchi hiyo katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS