-
Umoja wa Mataifa wataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jul 08, 2023 23:08Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Kisiasa, amehutubia kikao cha Baraza la Usalama cha kukagua utekelezwaji wa azimio nambari 2231, na kuelezea kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chaguo bora zaidi la kuhakikisha "hali ya amani ya mpango wa nyuklia wa Iran."
-
Guterres: Mapatano ya JCPOA bado ni chaguo bora
Jul 06, 2023 04:03Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema katika ripoti yake ya 15 kuhusu azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la umoja huo kwamba: Mapatano ya JCPOA bado ni chaguo bora.
-
Amir-Abdollahian: JCPOA ni miongoni mwa maudhui tutakayoijadili katika mazungumzo na Russia
Mar 29, 2023 04:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema, watazungumzia na Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia makubaliano ya nyuklia ya JCPOA katika safari yake ya mjini Moscow.
-
Kuvunjwa rasmi mpango wa INSTEX; nembo ya kukiukwa ahadi za Ulaya mkabala wa utekelezaji wa JCPOA
Mar 11, 2023 08:15Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza juzi Alhamisi ilitangaza katika taarifa yake kuwa imesitisha mfumo kwa jina la mpango wa mabadilishano ya kifedha na kibiashara "INSTEX" uliouanzisha mwaka 2019 kwa ajili ya kulinda biashara na Iran mkabala wa vikwazo vya Marekani.
-
Iran: Mlango wa kuhuisha JCPOA hautabaki wazi daima
Mar 02, 2023 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameionya Marekani kuwa, mlango wa mazungumzo ya kuhuisha makubaliano ya nyukia ya JCPOA hautabaki wazi milele, na kwa msingi huo ameiasa Washington kutumia fursa hiyo vizuri na kuyanusuru mapatano hayo.
-
Iran: Mkwamo wa sasa wa JCPOA ni matunda ya sera ghalati za Marekani
Mar 01, 2023 04:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameikosoa na kuilaumu Marekani kwa kukwamisha mazungumzo ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ya mwaka 2015.
-
"Uzoefu wa JCPOA umeipa Iran funzo la kutowategemea maajinabi"
Feb 05, 2023 07:19Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema Jamhuri ya Kiislamu imejifunza kutowategemea maajinabi kutokana na uzoefu wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Muelekeo wa kiundumakuwili na wenye mgongano wa Marekani kuhusiana na JCPOA
Jan 11, 2023 05:48Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani Ned Price amesema, hatua ya upande mmoja iliyochukuliwa na serikali ya rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump ya kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kosa kubwa zaidi la kistratejia lililofanywa katika miaka ya karibuni kwa upande wa sera za nje za Washington.
-
China: Mazungumzo ya JCPOA yapo katika marhala ya mwisho
Dec 27, 2022 03:56China imesema mazungumzo ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yapo katika hatua ya mwisho, na kusisitiza kwamba fursa ya kufufua mapatano hayo ya kimataifa ingalipo.
-
Mazungumzo ya Josep Borrell na Amir-Abdollahian nchini Jordan; msimamo baridi wa Umoja wa Ulaya
Dec 20, 2022 22:46Jumanne ya jana tarehe 20 Disemba, Waziri wa Mashauri ya Kiigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya pambizoni mwa mkutano wa Baghdad-2 uliofanyika katika mji mkuu wa Jordan, Amman.