-
Ziara ya barani Ulaya ya Netanyahu, na shabaha ya kuivuruga JCPOA
Jun 04, 2018 22:35Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala dhalimu wa Kizayuni ambaye alimchochea rais wa Marekani, Donald Trump, ajitoe katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA hivi sasa ameamua kuzifungia safari nchi za Ulaya kwa ajili ya kuzichochea ili nazo zijitoe kwenye mapatano hayo.
-
Umoja wa Ulaya wapiga hatua katika kulinda biashara na Iran
Jun 01, 2018 09:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian amesema Umoja wa Ulaya umepiga hatua katika kuyalinda mashirika ya kibiasahra ya umoja huo ili yasilengwe kwa vikwazo vya Marekani kutokana na kufanya biashara na Iran. Hata hivyo amesema hatua zilizochukuliwa bado hazitoshi.
-
Uganda yasisitiza kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jun 01, 2018 03:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda amesema kulindwa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA ni jambo lenye udharura mkubwa.
-
Russia: Marekani imejitoa kwenye JCPOA ili ikabiliane pande zote na Iran
May 30, 2018 23:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema Marekani imeamua kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA kwa sababu inataka kukabiliana pande zote na Iran.
-
Ujerumani yaipigia magoti Iran, yaitaka isijiondoe JCPOA
May 29, 2018 23:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema Berlin iko tayari kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran madhali Tehran itaendelea kufungamana na mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Mogherini: Kulindwa JCPOA kuna umuhimu wa kiusalama kwa Ulaya
May 28, 2018 21:15Mkuu wa Siasa za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, kulindwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA kuna umuhimu wa kiusalama kwa bara Ulaya.
-
Iran: Kamwe hatutorudi nyuma katika kuyaunga mkono mataifa yanayodhulumiwa
May 28, 2018 21:09Mkuu wa Chombo cha Mahakama cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran kamwe haitolezegeza kamba katika kulinda malengo yake matukufu na thamani zake za kimsingi ikiwa ni pamoja na kuwaunga mkono wanyonge na kufanikisha malengo yake mengine ya Kiistratijia.
-
Umoja wa Ulaya: Tutayalinda mapatano ya nyuklia ya Iran licha ya Marekani kujitoa + Video
May 28, 2018 10:58Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo umeazimia kikweli kweli kuyalinda mapatano ya nyuklia yaliyofikiwa mwaka 2015 baina ya Iran na kundi la 5+1, licha ya Marekani kujitoa katika mapatano hayo ya kimataifa.
-
Maendeleo yamepatikana katika mazungumzo ya nyuklia ya Iran na Ulaya
May 28, 2018 02:56Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika kipindi cha wiki mbili zilizopita kumepatikana maendeleo mazuri katika mazungumzo baina ya Iran na nchi za Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA, lakini bado matoeko yanayofaa hayajapatikana.
-
Iran: Iwapo Ulaya inakusudia kupoteza wakati, basi Tehran haitoendelea na mazungumzo ya JCPOA
May 27, 2018 09:23Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyed Abbas Araqchi amesema kuwa iwapo Tehran itahisi kwamba mazungumzo na Umoja wa Ulaya kuhusiana na kuendelea na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanaenda kinyume na makusudio au kwamba yanapoteza muda, basi haitoendelea na mazungumzo hayo.