-
Mafanikio ya sekta ya ulinzi ya Iran; Nguvu kuu na isiyo na shaka katika eneo
Aug 21, 2019 08:12Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) limetoa taarifa kuadhimisha Siku ya Sekta ya Ulinzi nchini Iran na kuyataja mafanikio katika sekta hiyo ya ulinzi hapa nchini kuwa ni nguvu kuu na isiyo na shaka katika eneo la Asia Magharibi.
-
Jeshi la Iran lazindua mfumo wa rada wa Falaq wa ulinzi wa anga
Aug 10, 2019 10:59Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo limezindua mfumo wa rada wa ulinzi wa anga uliopewa jina la Falaq katika hafla iliyohudhuriwa na Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi.
-
Wanamuqawama wa Yemen wavurumisha makombora 4 ya Zilzal-1 kwenye ngome za askari wa Saudia
Jul 26, 2019 23:42Jeshi na kamati za wananchi nchini Yemen limevurumisha makombora manne aina ya Zilzal-1 kwenye ngome za vibaraka wa muungano vamizi wa Saudia katika mikoa ya Aseer na Najran kusini mwa Saudia.
-
Jumamosi, 13 Julai, 2019
Jul 12, 2019 20:46Leo ni Jumamosi tarehe 10 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1440 Hijria mwafaka na tarehe 13 Julai 2019.
-
Mjumbe wa AU: Pande hasimu Sudan kusaini makubaliano ya kisiasa leo
Jul 12, 2019 20:39Wawakilishi wa Baraza la Kijeshi la Mpito nchini Sudan na muungano wa upinzani wa Uhuru na Mabadiliko wanatazamiwa kusaini makubaliano ya kisiasa leo Jumamosi, saa chache baada ya jeshi hilo kutangaza kuwa limezima jaribio la mapinduzi.
-
Pande hasimu za Sudan zakubaliana kugawana madaraka
Jul 04, 2019 22:25Wawakilishi wa Baraza la Kijeshi la Mpito nchini Sudan na muungano wa upinzani wa Uhuru na Mabadiliko wameafikiana juu ya suala la kugawana madaraka katika kipindi cha mpito kuelekea katika uchaguzi.
-
Pande mbili hasimu nchini Sudan zaanza tena mazungumzo ya ana kwa ana
Jul 04, 2019 02:59Wawakilishi wa Baraza la Kijeshi la Mpito nchini Sudan na muungano wa upinzani wa Uhuru na Mabadiliko wameanza tena mazungumzo ya moja kwa moja juu ya kipindi cha mpito baada ya kusitiishwa mazungumzo hayo kwa mwezi mzima kufuatia mauaji yaliyofanywa na jeshi la Sudan dhidi ya zaidi ya waandamanaji 100 mbele ya makao ya jeshi mjini Khartoum.
-
Wayemen waushambulia tena uwanja wa ndege wa kimataifa wa Saudia; mara hii watumia droni tano
Jun 14, 2019 02:58Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abha wa kusini mwa Saudi Arabia umeshambuliwa tena na jeshi na kamati za kujitolea za wananchi wa Yemen.
-
Magaidi 100 wangamizwa katika mkoa wa Hama nchini Syria
May 28, 2019 03:24Kituo cha Upatanishi cha Russia nchini Syria kimesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limevunja shambulizi la magaidi wa Jabhat al Nusra kaskazini mwa mkoa wa Hama na kuangamiza magaidi wasiopungua 100 walioshambulia vituo vya jeshi hilo.
-
Wapinzani Sudan waitisha mgomo wa nchi nzima, wasema mazungumzo yamefeli
May 21, 2019 09:00Viongozi wa upinzani nchini Sudan wametoa mwito wa kufanyika mgomo wa nchi nzima, wakisisitiza kuwa vikao viwili vya mazungumzo vya juzi na jana jioni vimeshindwa kupatia ufumbuzi hitilafu zilizopo baina ya pande mbili.