-
IRGC: Kulipiza kisasi dhidi ya wauaji wa Shahidi Soleimani ni jambo lisilo na shaka
Jan 03, 2023 03:04Katika mwaka wa tatu wa kuuawa shahidi Jenerali Hajj Qassem Soleimani, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema kulipiza kisasi dhidi ya wahalifu na wauaji wa shahidi huyo ni jambo ambalo bila shaka litafanyika.
-
Amir-Abdollahian: Iran kufanya duru ya nne ya mazungumzo na Iraq kuhusu faili la Shahidi Soleimani
Jan 03, 2023 02:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa duru ya nne ya mazungumzo kati ya Iran na Iraq kwa ajili ya kufuatilia faili la mauaji ya Shahidi Qassem Soleimani na wanajihadi wenzake itafanyika Iran.
-
Jumanne, Januari 3, 2023
Jan 03, 2023 02:15Leo ni Jumanne 10 Mfunguo Tisa Jumadithani 1444 Hijria sawa na Januari 3 mwaka 2023 Milaadia.
-
Raia wa nchi nne walihusika katika mauaji ya Kamanda Qassem Soleimani
Jan 02, 2023 07:41Mkuu wa kamati maalumu ya ufuatiliaji wa kisheria na wa kimataifa wa faili la mauaji ya Kamanda Qassem Soleimani katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, raia wa nchi nne walihusika katika mauaji ya kamanda huyo.
-
Mukhtasari wa Maisha na Historia ya Shahidi Haj Qassem Soleimani
Jan 01, 2023 12:22Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale yanapokufikieni matangazo haya kutoka hapa mjini Tehran.
-
Ukosoaji mkali wa Putin kwa mauaji ya kigaidi ya shahidi Luteni Jenerali Soleimani
Oct 29, 2022 11:15Akizungumza juzi Alhamisi katika Kongamano la Valdai, Rais Vladmir Putin wa Russia amekosoa mfumo na siasa za Magharibi na kueleza kuwa nchi za Magharibi zilimuua Luteni Jenerali Soleimani; katika hali ambayo shakhsia huyo alikuwa kiongozi rasmi nchini mwake na kuongeza kwamba Wamagharibi si tu hawajakana jambo hilo bali wanajifakharisha nalo.
-
Mashambulizi dhidi ya askari wa US yameongezeka kwa 400% tangu auawe Soleimani
Apr 02, 2022 02:35Washington imekiri kuwa, tangu Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) auawe kigaidi nchini Iraq, mashambulizi dhidi ya askari wa Marekani yameongezeka kwa asilimia 400.
-
Makubaliano ya Vienna hayataifanya Iran iache kufuatilia faili la mauaji ya Soleimani
Mar 20, 2022 07:43Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Idara ya Mahakama ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitaacha kuwafuatilia wahusika wa mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), kwa sababu ya makubaliano ya mazungumzo ya Vienna.
-
Instagram yafuta jumbe zinazozungumzia Jenerali Soleimani
Jan 08, 2022 12:32Wananchi wa Iran wameanzisha kampeni ya kulalamikia hatua ya mtandao wa kijamii wa Instagram ya kuendelea kufuta jumbe zinazohusiana na Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Ayatullah Seddiqi: Wanafunzi wa Shahidi Soleimani watang'oa mizizi ya ubeberu Asia Magharibi.
Jan 07, 2022 13:19Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema kuwa: Kambi iliyoasisiwa na shujaa Shahidi Qasem Soleimani katika vita vikali dhidi ya batili itawaangamiza kabisa Wamarekani na mamluki wao katika eneo hili la Magharibi mwa Asia.