Pars Today
Nukuu za historia zinasema, Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib, mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (SAW) aliingia Karbala siku ya Alhamisi tarehe Pili Muharram, 61 Hijiria.
Leo ni Jumapili 8 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria mwafaka na 14 Julai 2024 Miladia.
Leo ni Jumatatu tarehe Pili Mfunguo Nne Muharram 1445 Hijria, mwafaka na tarehe 8 Julai 2024.
Leo ni Jumamosi 8 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1445 Hijria mwafaka na 15 Juni 2024 Miladia.
Gavana wa jiji la Karbala nchini Iraq amesema mji huo mtakatifu utapokea wafanyaziara zaidi ya milioni 30 katika Arubaini ya Imam Hussein AS mwaka huu.
Mkutano wa kimataifa wenye anuani ya Wito wa Al-Aqsa umefanyika katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq, kwa kuhudhuriwa na wajumbe kutoka nchi 65 duniani.
Jana Alkhamisi ilisadifiana na mwezi Tisa Mfunguo Nne, Muharram, siku ya maombolezo ya Tasua ya Imam Husain AS na mashahidi wengine wa mapambano ya Karbala ya mwaka 61 Hijria.
Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Shaaban 1444 Hijri inasadifiana na tarehe Pili Machi mwaka 2023.
Ni wasaa na wakati mwingine tunapokutana tena wapenzi wasikilizaji katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ili kwa pamoja tuweze kufungua ukurasa mwingine katika kurasa za historia ya Maulamaa na wanazuoni wa Kishia pamoja na mchango wao katika Uislamu.
Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo.