-
Al-Shabaab yafanya tena ukatili Kenya, yaua 12 Mandera
Oct 25, 2016 04:10Watu 12 wameuawa na wengine wengi kuachwa na majeraha ya risasi baada ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab kushambulia hoteli moja mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa nchi, usiku wa jana.
-
Rais Kenyatta awafutia adhabu ya kifo wafungwa 2,747
Oct 24, 2016 12:11Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amebadili hukumu zote za kifo nchini humo na kuzifanya kifungo cha maisha jela.
-
Kenya yatahadharisha madola ya kigeni kuhusu kufadhili vyama vya upinzani
Oct 23, 2016 11:25Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya Justin Muturi ametahadharisha kuhusu mpango wa baadhi ya madola ya kigeni kufadhili kampeni za vyama vya upinzani kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2017.
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 17
Oct 17, 2016 03:47Hujambo mpenzi msikilizaji wa Radio Tehran na hususan shabiki wa spoti na karibu tuangazie matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita ndani na nje ya nchi.
-
Mbio za kumrithi Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU zashika kasi
Oct 15, 2016 04:52Kinyang'anyiro cha kuwania uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika kimeendelea kupamba moto huku Chad ikimteua Moussa Faki Mahamat, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kuwania nafasi hiyo.
-
SAUTI: Mgogoro wa Jamii ya Wakenya wasiokuwa na uraia wa taifa hilo wazidi kupanuka na sasa ukiwasukuma watu hao kwenda ikulu
Oct 11, 2016 13:38Jamii ya Wakenya wasiokuwa na uraia wa taifa hilo wanaoishi maeneo ya pwani, wameanzisha matembezi ya amani ya umbali wa zaidi ya kilomita 600 kuelekea ikulu ya Rais Uhuru Kenyatta jijini Nairobi.
-
Gavana wa Mombasa adai Masheikhe 24 wameuawa na serikali
Oct 08, 2016 23:32Gavana wa ODM katika kaunti ya Mombasa nchini Kenya ameikosoa vikali serikali kutokana na kukithiri mauaji ya washukiwa mbali mbali na hususan wa ugaidi na kudai kuwa vyombo vya usalama nchini humo vimeua Masheikh zaidi ya 24 katika miaka ya hivi karibuni.
-
Watu sita wauliwa na al Shabab nchini Kenya
Oct 06, 2016 04:24Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa kundi la kigaidi la al Shabab wamewaua watu sita katika shambulio lililofanywa na kundi hilo leo asubuhi huko Kenya.
-
UN: Wakimbizi 70,000 wa Dadaab wanataka kurudu Somalia
Oct 04, 2016 04:32Umoja wa Mataifa umesema robo ya wakimbizi wa Kisomali wanaoishi katika kambi ya Dadaab nchini Kenya wametangaza utayarifu wao wa kurejea nchini kwao Somalia karibuni hivi.
-
Waziri wa Kigeni Kenya, Amina Mohammad, kuwania uenyekiti wa Tume ya AU
Oct 03, 2016 11:36Serikali ya Kenya imewasilisha jina la Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Bi. Amina Mohamed kuwa mwenyekiti ajaye wa Tume ya Umoja wa Afrika AU.