-
Watu watatu wafariki dunia nchini Kenya katika maandamano ya wapinzani wa serikali
May 23, 2016 23:12Watu watatu wamepoteza maisha yao na wengine kadhaa kujeruhiwa nchini Kenya baada ya maandamano ya mrengo wa upinzani ya kutaka Tume ya Uchaguzi na Mipaka IEBC ijiuzulu kugeuka na kuwa uwanja wa fujo.
-
Tanzania, Kenya na Afrika Kusini zaanza kununua gesi asilia ya Iran
May 22, 2016 23:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza kuziuzia nchi za Afrika Kusini, Kenya na Tanzania gesi asilia oevu (LNG).
-
Upinzani Kenya: Wabunge wa Jubilee wanapanga njama ya kuahirisha uchaguzi mkuu 2017
May 22, 2016 23:03Viongozi wa upinzani nchini Kenya wamedai wabunge wa muungano tawala wa Jubilee wanapanga njama ya kuvuruga maandamano yao ya amani ambayo hufanyika kila Jumatatu kwa lengo la kushinikiza kujiuzulu makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC, ili itangaze hali ya hatari na hatimaye kuahirisha uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwaka ujao wa 2017.
-
Francis Wanjohi: Ash Shabab yafanya njama za kuzidi kuwadanganya vijana wa Kenya
May 21, 2016 11:28Kamanda wa eneo la Pwani nchini Kenya amesema kuwa, kundi la ash Shabab la Somalia linaendelea na njama zake za kuwadanganya vijana wa Kenya ili wajiunga na kundi hilo.
-
UN yaiomba Kenya isifunge kambi za wakimbizi Wasomali
May 20, 2016 11:55Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Ijumaa amekutana na wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mjini Nairobi kujadili uamuzi wa nchi yake kuwatimua wakimbizi kutoka Somalia walioko katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani ya Dadaab.
-
Waliokuwa njiani kwenda kujiunga na al-Shabaab wakamatwa na polisi ya Kenya
May 16, 2016 03:49Polisi katika mpaka wa Kenya na Somalia wanawazuilia watu watano akiwemo mwanafunzi wa chuo cha walimu, kwa tuhuma za kwenda kujiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab.
-
Somalia yalalamikia mpango wa Kenya wa kufunga kambi ya Dadaab
May 12, 2016 23:24Serikali ya Somalia imekosoa azma ya Kenya ya kufunga kambi ya wakimbizi ya Dadaab yenye mamia ya maelfu ya wakimbizi na haswa raia wa Kisomali.
-
Kenya yasisitiza azma yake ya kuzifunga kambi za wakimbizi za Dadaab na Kakuma
May 11, 2016 11:06Licha ya mashirika mbalimbali ya kimataifa kuendelea kuitaka Kenya ifikirie upya uamuzi wake wa kutaka kuzifunga kambi za wakimbizi za Dadaab na Kakuma, serikali ya Nairobi imesisitiza kwamba, imeazimia kuzifunga kambi hizo.
-
UN yaikosoa Kenya kwa kupanga kufunga kambi za wakimbizi
May 10, 2016 02:28Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Kenya kufikiria upya mpango wake wa kufunga kambi za wakimbizi za Dadaab na Kakuma.
-
Wapinzani Kenya wakaidi amri na kuandamana kupinga tume ya uchaguzi
May 09, 2016 10:49Wafuasi wa muungano wa upinzani wa Cord nchini Kenya wamekaidi amri ya serikali na kuibua ghasia nje ya makao makuu ya Tume Huru ya Uchaguzi IEBC mjini Nairobi.