-
Independent: Wafanyabiashara wa Kimagharibi wamemtapeli Haftar mamilioni ya dola
Jun 12, 2020 02:37Gazeti la Independent linalochapishwa nchini Uingereza limefuchua kwamba mamluki wa nchi za kigeni na wafanyabiashara wa nchi za Magharibi wakiwemo Waingereza, wamemtapeli jenerali muasi Khalifa Haftar mamilioni ya dola za Kimarekani.
-
17 wauawa na kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu Tripoli, Libya
Jun 11, 2020 07:57Kwa akali watu saba wameuawa na wengine zaidi ya kumi wamejeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea karibu na mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Gazeti la Qatar: Kumefikiwa makubaliano ya kimataifa ya kummaliza Khalifa Haftar wa Libya
Jun 11, 2020 02:25Gazeti la al Arabi al Jadid limeripoti habari ya kufikiwa makubliano ya kimataifa ya kummaliza kabisa kisiasa jenerali muasi Khalifa Haftar wa Libya.
-
Umoja wa Afrika wazitaka pande hasimu Libya kuzingatia sheria za kimataifa
Jun 10, 2020 12:09Mwenyekiti wa Kamati ya Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat amezitaka pande zinazopigana nchini Libya zifuate sheria ya kibinadamu ya kimataifa, hasa kuhakikisha usalama wa hospitali na shule, na kuwezesha utoaji wa misaada.
-
UN yasisitiza ulazima wa kutatuliwa mgogoro wa Libya kwa njia za amani
Jun 09, 2020 07:34Uingiliaji kati wa nchi za kigeni katika mgogoro wa Libya umezidisha wasiwasi wa kimataifa kuhusu mgogoro huo. Katika mkondo huo Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusiana na hali ya Libya na umezitaka pande zote zinazohusika kuheshimu njia za kisiasa za kutatua mgogoro huo.
-
Morocco yapinga pendekezo la Misri kuhusu Libya
Jun 08, 2020 12:04Serikali ya Morocco imepinga mpango wa Misri kuhusu Libya na kusisitiza kuwa muafaka wa kisiasa wa al Sakhirat ni marejeo asili ya ufumbuzi wa mgogoro wa Libya.
-
Wapiganaji wa Haftar warejea nyuma kutoka mji wa Sirte nchini Libya
Jun 07, 2020 04:17Askari wa serikali ya mwafaka wa kitaifa yenye makao yake magharibi mwa Libya wameelezea habari ya kukimbia wanamgambo wanaoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar kutoka katika mji wa Sirte hadi umbali wa kati ya Tripoli na Bengazi.
-
Serikali ya Muafaka wa Kitaifa ya Libya yakataa pendekezo la usitishaji vita la Misri na Haftar
Jun 07, 2020 03:07Jeshi la serikali ya muafaka wa kitaifa ya Libya limekataa pendekezo la kusitisha vita lililotolewa na Misri na vikosi vya mashariki mwa nchi hiyo na badala yake limesisitiza kudhibitiwakudhibitiwa maeneo yote ya nchi hiyo.
-
Kuendelea ushindi wa Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya na mustakabali usiowazi wa Libya
Jun 06, 2020 08:16Vita nchini Libya vimeshadidi na kushika kasi. Serikali ya Muafaka wa Kiataifa (GNU) yenye makao yake mjini Tripoli iko mbioni kukomboa maeneo yote ambayo yanakaliwa na wanamgambo wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar. Katika siku za hivi karibuni vikosi vya Serikali ya Muafaka wa Kitaifa vimepata mafanikio makubwa.
-
Baraza la Usalama larefusha muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Libya
Jun 06, 2020 07:56Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limeongeza muda wa vikwazo vya silaha vilivyowekewa Libya kwa kipindi cha mwaka mmoja mwingine.