-
Mapigano yaendelea Tripoli licha ya tangazo la usitishaji vita
Aug 11, 2019 11:17Mapigano makali yameripotiwa leo huko Tripoli mji mkuu wa LIbya licha ya mapatano ya kusimamisha mapigano katika kusherehekea Sikukuu ya Idhul Adh'ha.
-
Usitishwaji vita Libya katika Siku Kuu ya Idul Adha
Aug 11, 2019 02:28Serikali ya Mapatano ya Kitaifa Libya (GNA) na ambayo inatambuliwa kimataifa imekubali pendekezo la Umoja wa Mataifa la usitishwaji vita kwa muda wakati wa sherehe za Idul Adha.
-
Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa mapigano huko Libya
Aug 09, 2019 07:39Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya umetoa wito wa kusitishwa mapigano kwa sababu za kibinadamu huko Tripoli mji mkuu wa Libya.
-
Wanajeshi wa jenerali Haftar wafanya mashambulio ya anga dhidi ya mji wa Misrata
Aug 06, 2019 08:17Vikosi vitiifu kwa jenerali Khalifa Haftar vimefanya mashambulio ya anga dhidi ya mji wa Misrata ulioko magharibi mwa mji mkuu wa Libya Tripoli.
-
Ghassan Salamé: Libya imekuwa uwanja wa vita wa nchi nyingine
Jul 29, 2019 22:33Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ametahadharisha kuhusu athari mbaya za vita katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika na kusema kuwa, Libya imekuwa uwanja wa vita wa nchi nyingine.
-
Al-Sarraj na UN wasisitiza udharura wa kuanza tena mchakato wa kisiasa Libya
Jul 28, 2019 23:48Waziri Mkuu wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya na mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya wametilia mkazo udharura wa kuanzishwa tena mchakato wa kisiasa nchini humo.
-
Guterres aeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wahamiaji haramu huko Libya
Jul 27, 2019 02:43Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuwa amehuzunishwa sana kusikia taarifa ya kuaga dunia wahamiaji na wakimbizi wapatao 150 baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika pwani ya Libya juzi Alhamisi.
-
Mapigano yashtadi kusini mwa Tripoli mji mkuu wa Libya
Jul 25, 2019 06:46Mapigano kati ya wanamgambo kwa jina la jeshi la kitaifa la Libya na vikosi vya serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya yamepamba moto katika eneo la al Ramla kusini mwa Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Wanamgambo wa Haftar watungua droni ya Uturuki huko Libya
Jul 21, 2019 22:03Duru zenye mfungamano na wanamgambo wanaojiita jeshi la kitaifa la Libya wanaoongozwa na kamanda Khalifa Haftar zimeripoti kuwa wanamgambo hao wametungua droni ya Uturuki katika anga ya mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
UNHCR: Mapigano Libya yamefanya watu 120,000 wakimbie makazi yao
Jul 18, 2019 06:57Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema watu zaidi ya 120,000 wamelazimika kuwa wakimbizi wa ndani kutokana na mapigano huko Tripoli mji mkuu wa Libya na viunga vyake.