Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Shambulio la bomu Benghazi, Libya laua watu saba

    Shambulio la bomu Benghazi, Libya laua watu saba

    May 25, 2018 06:55

    Kwa akali watu saba wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari lililokuwa limesheheni mabomu kuripuka katika barabara yenye shughuli nyingi mjini Benghazi, mashariki mwa Libya.

  • Jenerali Khalifa Haftar ahimiza kuendelea mapambano dhidi ya magaidi Libya

    Jenerali Khalifa Haftar ahimiza kuendelea mapambano dhidi ya magaidi Libya

    May 23, 2018 13:56

    Mkuu wa vikosi vinavyoitwa Jeshi la Taifa la Libya amesema kuwa jeshi hilo litaendelea na operesheni zake za kupambana na magaidi katika mji wa Derna wa mashariki mwa nchi hiyo.

  • Watu wanne wauawa, kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi nchini Libya

    Watu wanne wauawa, kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi nchini Libya

    May 23, 2018 03:42

    Kwa akali watu wawili wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia shambulizi la bomu lililotekelezwa na kundi moja la kigaidi katika mji wa Ajdabia, mashariki mwa Libya.

  • Jeshi la Libya latangaza kulitia mbaroni kundi linalomuunga mkono Kanali Muammar Gaddafi

    Jeshi la Libya latangaza kulitia mbaroni kundi linalomuunga mkono Kanali Muammar Gaddafi

    May 21, 2018 14:00

    Kundi lenye mafungamano na Baraza la Kuu la Serikali ya Maridhiano ya Kitaifa nchini Libya, limetangaza kuwatia mbaroni wanachama wanaouunga mkono utawala wa Kanali Muammar Gaddafi, kiongozi wa zamani wa nchi hiyo.

  • Mashambulizi dhidi ya maeneo ya magaidi yanaendelea nchini Libya

    Mashambulizi dhidi ya maeneo ya magaidi yanaendelea nchini Libya

    May 21, 2018 02:33

    Jeshi la taifa la Libya limetangaza kuwa, limeshambulia maficho kadhaa ya magaidi katika mji wa Derna wa mashariki mwa nchi hiyo.

  • Makumi ya maelfu wahajiri haramu wa Ghana wakwama nchini Libya

    Makumi ya maelfu wahajiri haramu wa Ghana wakwama nchini Libya

    May 20, 2018 14:39

    Mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia masuala ya wakimbizi nchini Libya amesema kuwa, kuna makumi ya maelfu ya wahajiri haramu wa Ghana waliokwama nchini Libya.

  • Hatua za kiusalama zachukuliwa kukabiliana na genge la Daesh nchini Libya

    Hatua za kiusalama zachukuliwa kukabiliana na genge la Daesh nchini Libya

    May 19, 2018 13:55

    Viongozi wa serikali ya Libya wametangaza kuchukua hatua zaidi za kiusalama kwa ajili ya kukabiliana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ndani ya nchi hiyo.

  • Trump: Huenda kiongozi wa Korea Kaskazini akapatwa na hatima kama ya Gaddafi

    Trump: Huenda kiongozi wa Korea Kaskazini akapatwa na hatima kama ya Gaddafi

    May 19, 2018 04:13

    Rais Donald Trump wa Marekani amemuonya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un kuwa huenda akapatwa na hatima kama iliyomfika kiongozi wa zamani wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi, iwapo Pyongyang haitaachana na mradi wake wa silaha za nyuklia.

  • Watu 9 wauawa katika mapigano mapya mashariki mwa Libya

    Watu 9 wauawa katika mapigano mapya mashariki mwa Libya

    May 16, 2018 13:49

    Watu 9 wameuawa kwenye mapigano baina ya jeshi la Libya na magenge ya kigaidi katika mji wa Derna wa mashariki mwa nchi hiyo.

  • Mamia ya wahajiri haramu waokolewa katika pwani za magharibi mwa Libya

    Mamia ya wahajiri haramu waokolewa katika pwani za magharibi mwa Libya

    May 13, 2018 15:46

    Wahajiri haramu wapatao 340 raia wa nchi tofauti za Afrika wameokolewa katika pwani za magharibi mwa Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS