-
Maiti 230 zagunduliwa katika makaburi ya umati Libya
Nov 10, 2022 07:45Mamlaka za Libya zimetangaza habari ya kugunduliwa miili 230 ya watu wasiojulikana katika makaburi ya umati katika mji wa Tarhuna, ulioko kusini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.
-
Haftar atishia kuanzisha vita vya kuikomboa Libya
Nov 01, 2022 23:16Kamanda wa linalojiita jeshi la taifa la Libya ametishia kuwa, iwapo juhudi za sasa za kupata suluhisho la amani la mgogoro wa Libya zitafeli, ataanzisha vita vikubwa vya kuikomboa nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa wasisitiza dhamira yake ya kusitisha vita nchini Libya
Oct 27, 2022 23:23Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya kwa mara nyingine amesisitiza dhamira ya taasisi hiyo ya kimataifa ya kusitisha vita nchini humo.
-
Uturuki na Libya zasaini mikataba miwili ya ushirikiano wa kijeshi
Oct 26, 2022 09:27Maafisa wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya na wa Uturuki wametia saini mikataba miwili ya ushirikiano wa kijeshi mjini Istanbul.
-
NATO yashambuliwa mitandaoni baada ya kuripotiwa kuua raia laki 5 Libya 2011
Oct 18, 2022 06:59Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limevunja kimya na kutoa taarifa ya kujitenga na ripoti iliyochapishwa na vyombo mbalimbali vya habari na kusambaa katika mitandao ya kijamii kuwa vikosi vya taasisi hiyo viliua malaki ya raia nchini Libya mwaka 2011.
-
Makumi ya maiti zagunduliwa katika kaburi la umati Sirte, Libya
Oct 03, 2022 04:13Mamlaka ya Libya imetangaza kupatikana kwa miili 42 ambayo haikutambuliwa katika kaburi la pamoja huko Sirte, makao makuu ya zamani ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Kikao cha kimataifa cha Berlin kuhusu Libya na suala zima la uchaguzi mkuu
Sep 11, 2022 04:52Nchi zilizoshiriki katika katika kikao cha kimataifa cha Berlin kuhusu Libya zimesisitiza kuwa, uchaguzi ndiyo njia pekee ya utatuzi wa mgogoro wa nchi hiyo. Kikao hicho cha siku mbili kimehudhuriwa pia na wawakilishi kutoka Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya, Ufaransa, Uingereza, Marekani, Uturuki, Italia, Ujerumani na Misri.
-
Umoja wa Mataifa: Hakuna suluhisho la kijeshi la mzozo wa Libya
Sep 07, 2022 22:20Msaidizi wa Katibu Mkuu na Mratibu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amesisitiza kuwa, hakuna suluhisho la kijeshi kwa mzozo wa nchi hiyo, na kwa mara nyingine ametoa wito wa kufanyika uchaguzi nchini Libya haraka iwezekanavyo.
-
UN yawahamishia Rwanda watafuta hifadhi 100 kutoka Libya
Sep 02, 2022 07:36Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limetangaza kuwa limewahamishia nchini Rwanda makumi ya watu wanaotafuta hifadhi waliokuwa nchini Libya.
-
Hofu ya UN juu ya mgogoro wa kisiasa nchini Libya
Aug 31, 2022 02:42Mkuu wa Siasa wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa, kutotatuliwa mgogoro wa kisiasa wa Libya na kutofanyika uchaguzi uliocheleweshwa ni tishio kwa hali ya mambo katika nchi hiyo ya Kiarabu.