Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Bunge la Libya latahadharisha kuachiwa huru bila ya masharti viongozi wa utawala wa zamani

    Bunge la Libya latahadharisha kuachiwa huru bila ya masharti viongozi wa utawala wa zamani

    Jun 12, 2017 21:57

    Bunge la Libya limetahadharisha kuhusu kuachiwa huru bila ya masharti viongozi wa utawala wa zamani wa nchi hiyo.

  • Makumi ya wahajiri wahofiwa kufa maji pwani ya Libya

    Makumi ya wahajiri wahofiwa kufa maji pwani ya Libya

    Jun 11, 2017 09:39

    Makumi ya wahajiri wanahofiwa kufa maji baada ya boti yao kuzama mashariki mwa Tripoli, mji mkuu wa Libya.

  • Kundi la wabeba silaha Libya lamwachia huru Saiful Islam Gaddafi

    Kundi la wabeba silaha Libya lamwachia huru Saiful Islam Gaddafi

    Jun 11, 2017 03:33

    Kundi moja la wabeba silaha nchini Libya limetangaza kuwa limemwachia huru mwana wa kiume wa aliyekuwa dikteta wa nchi hiyo aliyeuawa Muammar Gaddafi, Saiful-Islam Gaddafi ambaye alikuwa akishikiliwa gerezani tangu mwaka 2011.

  • UN: Imarati imekiuka vikwazo vya silaha, Libya

    UN: Imarati imekiuka vikwazo vya silaha, Libya

    Jun 10, 2017 11:26

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umekiuka vikwazo vya silaha vya Libya.

  • Algeria: Utatuzi wa mgogoro wa Libya utatimia bila uingiliaji wa kigeni

    Algeria: Utatuzi wa mgogoro wa Libya utatimia bila uingiliaji wa kigeni

    Jun 06, 2017 03:47

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa, utatuzi wa matatizo ya Libya utatimia bila uingiliaji wa kigeni sambamba na kulindwa umoja wa kitaifa.

  • Miili 7 ya wahajiri wa Kiafrika yapatikana ndani ya lori Libya

    Miili 7 ya wahajiri wa Kiafrika yapatikana ndani ya lori Libya

    Jun 05, 2017 09:36

    Wahajiri saba wa Kiafrika wamepoteza maisha baada ya kukosa hewa wakiwa ndani ya lori lenye jokofu kwa muda wa siku mbili katika pwani ya Libya.

  • Wataka mkuu wa jeshi apandishwe kizimbani Libya kwa kushirikiana na Misri

    Wataka mkuu wa jeshi apandishwe kizimbani Libya kwa kushirikiana na Misri

    Jun 01, 2017 09:50

    Wanaharakati nchini Libya wametaka mkuu wa jeshi la nchi hiyo apandishwe kizimbani kwa madai ya kula njama na Misri na kutoheshimu haki ya kujitawala Libya.

  • Wahajiri 58 wafa maji bahari ya Mediterrania, 100 watoweka

    Wahajiri 58 wafa maji bahari ya Mediterrania, 100 watoweka

    May 30, 2017 11:03

    Umoja wa Mataifa umesema wahajiri 58 aghalabu yao wakiwa ni watoto wadogo wamekufa maji katika Bahari ya Mediterrania karibu na pwani ya Libya wakijaribu kuingia barani Ulaya.

  • Libya yataka mashambulizi ya jeshi la Misri nchini humo kufuatiliwa kimataifa

    Libya yataka mashambulizi ya jeshi la Misri nchini humo kufuatiliwa kimataifa

    May 30, 2017 03:25

    Wabunge la Libya wametaka kufuatiliwa katika asasi za kimataifa mashambulizi ya anga ya Misri ndani ya ardhi ya nchi hiyo.

  • Ikhwanul Muslimin: Shambulizi la Misri nchini Libya litazidisha uhasama wa nchi mbili

    Ikhwanul Muslimin: Shambulizi la Misri nchini Libya litazidisha uhasama wa nchi mbili

    May 29, 2017 09:27

    Kundi la Ikhwanul Muslimin lililopigwa marufuku nchini Misri, limelaani mashambulizi ya nchi hiyo huko Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS