Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Nchi jirani zaunga mkono mazungumzo ya amani Libya

    Nchi jirani zaunga mkono mazungumzo ya amani Libya

    May 28, 2017 06:56

    Nchi zinazopakana na Libya zimeunga mkono juhudi za kumaliza migogoro ya nchi hiyo kupitia kuanzisha mazungumzo ya pande zote ya kisiasa.

  • Ndege za Misri zashambulia maficho ya magaidi nchini Libya

    Ndege za Misri zashambulia maficho ya magaidi nchini Libya

    May 27, 2017 06:42

    Jeshi la Anga la Misri limefanya mashambulizi katika maficho ya magaidi ndani ya ardhi ya Libya baada ya watu wenye silaha kushambulia mabasi mawili yaliyokuwa na Wakristo mkoani al Minya.

  • Baba wa mhusika wa shambulio la kigaidi la Manchester akamatwa nchini Libya

    Baba wa mhusika wa shambulio la kigaidi la Manchester akamatwa nchini Libya

    May 25, 2017 07:50

    Baada ya kukamatwa ndugu wa kiume wa Salman Abedi, mhusika wa shambulio la kigaidi la mjini Manchester, Uingereza, kitengo cha kupambana na ugaidi nchini Libya kimetangaza kuwa kimemkamata pia baba wa mhusika huyo wa shambulio hilo.

  • Wahajiri 34, aghlabu yao watoto, wazama baharini Libya

    Wahajiri 34, aghlabu yao watoto, wazama baharini Libya

    May 25, 2017 04:27

    Wahajiri wasiopungua 34, wengi wao wakiwa ni watoto, walizama jana Jumatano katika Bahari ya Mediterranean karibu na pwani a Libya.

  • Libya yataka kuondolewa vikwazo vya silaha

    Libya yataka kuondolewa vikwazo vya silaha

    May 24, 2017 14:25

    Waziri Mkuu wa serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya ametaka nchi yake iondolewe vikwazo vya silaha.

  • Sudan yaongeza idadi ya askari wake katika mpaka wa pamoja na Libya

    Sudan yaongeza idadi ya askari wake katika mpaka wa pamoja na Libya

    May 23, 2017 03:16

    Sudan imeanza kutuma askari zaidi katika mpaka wake wa pamoja na Libya katika eneo la Darfur.

  • Algeria: Nguvu za kijeshi Syria, Yemen na Libya zmesababisha maafa

    Algeria: Nguvu za kijeshi Syria, Yemen na Libya zmesababisha maafa

    May 22, 2017 07:35

    Spika wa Bunge la Algeria ametangaza kuwa, kutumiwa nguvu za kijeshi katika nchi za Syria, Yemen na Libya kumesababisha kutokea maafa ya kibinadamu katika nchi hizo.

  • UN: Watu milioni 1.3 wanahitaji misaada ya dharura Libya

    UN: Watu milioni 1.3 wanahitaji misaada ya dharura Libya

    May 22, 2017 04:10

    Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya milioni moja na laki tatu nchini Libya wanahitajia misaada ya dharura ya kibinadamu.

  • Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ataka kurejeshwa utulivu nchini Libya

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ataka kurejeshwa utulivu nchini Libya

    May 21, 2017 13:36

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka pande zote zinazopigana kusini mwa Libya kufanya juhudi za kurejesha amani na utulivu katika eneo hilo.

  • Idadi ya waliouawa katika shambulio dhidi ya kambi ya jeshi Libya yafikia 141

    Idadi ya waliouawa katika shambulio dhidi ya kambi ya jeshi Libya yafikia 141

    May 20, 2017 07:13

    Kwa akali watu 141 wameripotiwa kupoteza maisha katika shambulio lililoilenga kambi ya jeshi huko kusini mwa Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS