Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Makumi wauawa katika mapigano ya makundi hasimu Libya

    Makumi wauawa katika mapigano ya makundi hasimu Libya

    May 19, 2017 07:30

    Makumi ya watu wameuawa baada ya vikosi tiifu kwa makundi hasimu ya kisiasa nchini Libya kukabiliana huko kusini mwa nchi.

  • Sisitizo la kuondolewa vikwazo vya kuingiza silaha nchini Libya

    Sisitizo la kuondolewa vikwazo vya kuingiza silaha nchini Libya

    May 15, 2017 13:31

    Katika mwendelezo wa mashauriano kwa lengo la kuimarisha usalama na uthabiti nchini Libya, Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri amekutana na kamanda mkuu wa jeshi la Libya na kusisitizia umuhimu wa kuondolewa vikwazo vya uingizaji silaha nchini humo.

  • Yemen katika muelekeo wa mfumo wa kisiasa unaofanana na wa Libya

    Yemen katika muelekeo wa mfumo wa kisiasa unaofanana na wa Libya

    May 13, 2017 11:43

    Ushahidi uliopo unaonyesha kuwa Yemen inaelekezwa kwenye muundo na mfumo wa kisiasa sawa na uliofeli na kugonga mwamba nchini Libya.

  • Makumi ya askari wa Libya wauawa na kujeruhiwa Benghazi

    Makumi ya askari wa Libya wauawa na kujeruhiwa Benghazi

    May 09, 2017 13:43

    Kwa akali askari 11 wa jeshi la Libya wameuawa na wengine 55 kujeruhiwa katika makabiliano na magenge ya kigaidi mjini Benghazi, mashariki mwa nchi.

  • Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza uhalifu waliofanyiwa wahajiri nchini Libya

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza uhalifu waliofanyiwa wahajiri nchini Libya

    May 09, 2017 08:11

    Mkuu wa Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ametangaza kuwa mahakama hiyo imeanzisha uchunguzi kuhusu jinai na uhalifu waliofanyiwa wahajiri nchini Libya.

  • Khalifa al-Ghweil: Mazungumzo ya ndani ndio njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Libya

    Khalifa al-Ghweil: Mazungumzo ya ndani ndio njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Libya

    May 07, 2017 13:14

    Mkuu wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa, njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ni kufanyika mazungumzo yatakayoyashirikisha makundi yote.

  • Kuendelea mashauriano ya kurudisha uthabiti Libya

    Kuendelea mashauriano ya kurudisha uthabiti Libya

    May 06, 2017 04:02

    Katika kuendelea juhudi za kuleta amani na uthabiti huko Libya, Mwakilishi Malum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Libya ameonana na kufanya mazungumzo na Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya nchi hiyo.

  • Viongozi wa makundi makuu Libya wakutana ili kupunguza mivutano

    Viongozi wa makundi makuu Libya wakutana ili kupunguza mivutano

    May 04, 2017 02:21

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya imesema kuwa mazungumzo ya hivi karibuni baina ya Khalifa Haftar na Fayez al Sarraj ni hatua muhimu kuelekea kuleta hali ya kuaminiana na kutatua mgogoro wa miaka mingi wa nchi hiyo.

  • Mapatano kuhusu mustakabali wa Libya

    Mapatano kuhusu mustakabali wa Libya

    May 04, 2017 02:19

    Hatimaye, baada ya duru kadhaa za mazungumzo, Khalifa Haftar Kamanda wa Jeshi la Kitaifa la Libya na Fayez Al Siraj Waziri Mkuu wa Serikali ya Maelewano ya Kitaifa wamehitimisha hitilafu zao na kufikia mapatano kuhusu utatuzi wa mgogoro wa nchi hiyo.

  • Nafasi isiyo na taathira ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai katika mgogoro wa Libya

    Nafasi isiyo na taathira ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai katika mgogoro wa Libya

    Apr 27, 2017 08:11

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imetoa waranti wa kutiwa mbaroni Tohami Mohamed Khalid mkuu wa zamani wa kitengo cha usalama wa ndani cha Libya kutokana na kile kilichoelezwa na mahakama hiyo kwamba, alihusika katika ukandamizaji dhidi ya raia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS