-
Ayatullah Khatami: Njama za maadui za kutikisa Mfumo zimegonga mwamba
Nov 22, 2019 09:57Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameashiria njama za maadui za kutaka kutoa pigo kwa Mfumo wa Uongozi hapa nchini na kusema: "Hakuna mtu anayepinga watu kushiriki maandamano ya amani, lakini ni wazi maadui walitaka kushinikiza wimbi la ghasia na kuibua ukosefu wa usalama hapa nchini Iran."
-
Benki nchini Lebanon zafunguliwa chini ya ulinzi mkali baada ya ghasia
Nov 19, 2019 22:59Kwa mara nyingine benki za Lebanon zimefunguliwa na kuanza shughuli zake chini ya ulinzi mkali wa maafisa usalama wa nchi hiyo.
-
"Marekani inakusudia kuteka nyara maandamano ya amani ya Wairani"
Nov 18, 2019 08:44Msemaji wa serikali ya Iran amesema Marekani inafanya juu chini ili kupotosha mkondo wa maandamano ya amani ya wananchi wa Iran wanaolalamikia ongezeko la bei ya petroli, lakini njama hizo zitagonga mwamba.
-
Rouhani: Wairani wana haki ya kuandamana bila kufanya fujo
Nov 18, 2019 08:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema wananchi wa taifa hili wana haki ya kufanya maandamano, lakini maandamano ya amani ni tofauti na uibuaji wa fujo na hali ya mchafukoge.
-
Wakazi wa Haifa waandamana kuiunga mkono Gaza
Nov 16, 2019 08:59Wapalestina wanaoishi Haifa ndani ya utawala haramu wa Israel, wamefanya maandamano kuunga mkono wakazi wa Ukanda wa Gaza kutokana na jinai za Tel Aviv.
-
Wapinzani wa serikali nchini Pakistan watangaza mpango wa pili wa kuendeleza maandamano
Nov 14, 2019 04:00Chama cha Jumuiya ya Maulama wa Kiislamu (Jamiat Ulema-e-Islam) nchini Pakistan ambacho kinaipinga serikali ya sasa ya Imran Khan, Waziri Mkuu wa nchi hiyo, kimetangaza mpango wa pili katika kumuwekea mashinikizo zaidi waziri mkuu huyo ili ajiuzulu.
-
"Marekani inachochea maandamano katika nchi za Kiarabu kwa maslahi yake"
Nov 12, 2019 04:41Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inatumia maandamano yanayoshuhidiwa hivi sasa katika nchi kadhaa za Kiarabu kusukuma ajenda zake, na kuifanya Lebanon ishindwe kujisimamia yenyewe.
-
Maelfu ya Waislamu waandamana Ufaransa kupinga chuki dhidi ya Uislamu
Nov 11, 2019 09:18Maelfu ya watu wameshiriki maandamano katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris kulalamikia chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo.
-
Maelfu ya raia wa Kuwait wafanya maandamano dhidi ya serikali
Nov 07, 2019 09:29Maelfu ya raia wa Kuwait wamefanya maandamano makubwa kulalamikia hali mbaya ya kiuchumi na kimaisha pamoja na sheria inayohusiana na uraia wa nchi hiyo.
-
Magaidi walioua watu katika maandamano ya Iraq watiwa nguvuni
Oct 31, 2019 07:04Kamanda wa Operesheni ya Baghdad amesema kuwa magaidi waliowalenga na kuua raia wanaoandamana nchini humo wametiwa nguvuni.